Marekani na washirika wake wanaua ndugu zetu huko mashariki ya kati na sehemu nyingine duniani kwa kuvaa ngozi ya kondoo,ndo mana hata walipoona machafuko yanazid burundi wakaamuru wamarekani wasio na kazi muhimu warudi marekani,nikajiuliza hao walionaumuhimu wa kubaki burundi wanakazi gani kubwa kama si uchochezi.