Katuni inaongea

Wachumia tumbo wemejidhirisha hakuna upinzan tz
 
mkuu yahoo mbona haziongei!?
 
Last edited by a moderator:
Kwa kipindi chote toka uhuru mwaka 1961 nani kaleta njaa nchini?

uvivu wako ndio unakusababishia njaa.
Jitu linakimbilia mjin kuuza big g wakat mashamba yapo kijijin halitaki kulima hapo unafikir chama ndio kikupe hela?

Watu kibao wamefanikiwa kwa ujasiriamali lakn mijitu mingne kaz kugomba stend kubeba mizigo halafu linaambulia miambili wakat vijijn angeweza kulima au hata kufuga
 
Kwenye siasa hakuna adui wa kudumu wala rafiki wa kudumu. Inategemea unacheza vipi na huyu adui au rafiki yako kufika Ikulu!
 

pitia pitia migration studies utapata majibu mazuri ya kitafiti. Mtu akilima mahindi akitaka kuuza ya kuchoma serikali inamkataza, akitaka kuyauza Zambia kwa bei nzuri serikali inamzuia, hali ya hewa inaharibu mipango ya wakulima, middle men/ women wanapinga panga la nguvu, na mambo mengine kibao kama kukosekana kwa teknolojia bora.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…