Kuna uzi wa jamaa aliefungwa kifungo cha maisha kwa "kumbaka" binti wa miaka 17, nimejaribu kukutafutia link nikuletee ili usome, bahati mbaya sijauona. Huyo jamaa alikua na mahusiano na binti, na kuna siku binti alienda kulala ghetto kwake kabisa.Poleni sana wadau kwa kusaka mkate wa kila siku .
Niingie kwenye mada husika, mimi ni kjna wa kawaida maisha yangu ni ya level ya kawaida 2 lakini hapa mtaani kuna kadent. Nimekazdi kam miaka 5 kametokea kuelewa pigo zangu , yani kananismbua kwa brua toka mwaka jna , japo nilishakaambia kuwa nakachukulia kma mdogo wangu / rafki .
Lakini kananichosha kanapo nambia kapo tyari kufanya lolote kwa ajili yngu.
Mbaya zaid ni kadent.
Kuna uzi wa jamaa aliefungwa kifungo cha maisha kwa "kumbaka" binti wa miaka 17, nimejaribu kukutafutia link nikuletee ili usome, bahati mbaya sijauona. Huyo jamaa alikua na mahusiano na binti, na kuna siku binti alienda kulala ghetto kwake kabisa.
Be very very careful. Mwambie asome, tena mwambie kwa ukali kabisa na umwambie barua zake zote unazo, akiendelea utaenda kumshitaki kwa wazazi wake tena ukiwa na udhibitisho wa hizo barua zake. Akiendelea ufanye hivyo kweli uende kushitaki kwa wazazi wake ukiwa na lundo la hizo barua zake kama ushahidi, asije kujaribu kukugeuzia kibao mbele ya wazazi wake. (i hope ulikua unazihifadhi).
anobreezy
Relax usome tena, utaelewa.Alifungwa maisha afu akatoka akaja kuandika Uzi wake jf au mbona sijakuelewa
Dawa hapo ni kumtishia kwamba atamshitaki kwa wazazi wake akiwa na ushahidi wa hizo barua.Mkuu achana na wanafunzi jela inakuita, mkazie kabisa mwambie mm mume wa MTU mke wangu akijua ni balaa tena uwe mkali
Wanafunz cjui wananini wakiamua kukuganda utakoma atakufanyia visa mpaka ndugu zake watajua unatoka nae, na wakijua Andika umeumia
Kuna jamaa kala 30 yrs jana,angalia na wewe tusikupoteze harafu mseme serikali mbaya kama team Membe.Poleni sana wadau kwa kusaka mkate wa kila siku .
Niingie kwenye mada husika, mimi ni kjna wa kawaida maisha yangu ni ya level ya kawaida 2 lakini hapa mtaani kuna kadent. Nimekazdi kam miaka 5 kametokea kuelewa pigo zangu , yani kananismbua kwa brua toka mwaka jna , japo nilishakaambia kuwa nakachukulia kma mdogo wangu / rafki .
Lakini kananichosha kanapo nambia kapo tyari kufanya lolote kwa ajili yngu.
Mbaya zaid ni kadent.
Kweli kbsa mmi nina mke tena nampenda sana lakini hawa wanafunzi hawajielewi pamoja na serikali kuwajaliMkuu kama umeshaona ni mdogo wako kuwa na huruma na wazazi wake mwache mtoto asome hali unaona ilivyo wazazi wanajitahidi kweli watoto wao wapate elimu ila watoto wenyewe kama hivyo hawa zingati masomo.
Una miaka mingapi mkuu?Poleni sana wadau kwa kusaka mkate wa kila siku .
Niingie kwenye mada husika, mimi ni kjna wa kawaida maisha yangu ni ya level ya kawaida 2 lakini hapa mtaani kuna kadent. Nimekazdi kam miaka 5 kametokea kuelewa pigo zangu , yani kananismbua kwa brua toka mwaka jna , japo nilishakaambia kuwa nakachukulia kma mdogo wangu / rafki .
Lakini kananichosha kanapo nambia kapo tyari kufanya lolote kwa ajili yngu.
Mbaya zaid ni kadent.
Bado ni kadent, we unakazidi miaka mitano! Wote nyie ni watoto tu hakuna mwenye akili ya mtu mzima. Kama ungeendelea na shule ungekuwa hujamaliza masomo. Naona nyie wote bado mko home kwa mshua.Poleni sana wadau kwa kusaka mkate wa kila siku .
Niingie kwenye mada husika, mimi ni kjna wa kawaida maisha yangu ni ya level ya kawaida 2 lakini hapa mtaani kuna kadent. Nimekazdi kam miaka 5 kametokea kuelewa pigo zangu , yani kananismbua kwa brua toka mwaka jna , japo nilishakaambia kuwa nakachukulia kma mdogo wangu / rafki .
Lakini kananichosha kanapo nambia kapo tyari kufanya lolote kwa ajili yngu.
Mbaya zaid ni kadent.
Hawa wanafunzi hawajielewi kbsa pamoja na serikali kuwajali lkni baadhi hawajitambuiBado ni kadent, we unakazidi miaka mitano! Wote nyie ni watoto tu hakuna mwenye akili ya mtu mzima. Kama ungeendelea na shule ungekuwa hujamaliza masomo. Naona nyie wote bado mko home kwa mshua.