Katika vituo hivi vikubwa vya Televisheni, kipi kinastahili kuwa kituo bora kwa mwaka 2017?

Katika vituo hivi vya Television,kipi kinastahili kuwa kituo bora kwa mwaka 2017?


  • Total voters
    71
  • Poll closed .

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
47,034
144,388
A.ITV
B.TBC
C Azam tv
D.Channel 10
E.Star tv
F.Clouds tv

Wadau,na sisi kupitia mtandao wetu huu wa JamiiForums, si vibaya tukafanya tathimini ya namna vituo tajwa hapa juu vinavyoripoti kwa usawa bila upendeleo habari za siasa na wanasiasa kwa hapa nchini, kwani mbali na kuvitazama, pia tunavutumia kama moja ya vyanzo vyetu ya kupashana habari hapa JamiiForums hivyo sio vibaya tukavifanyia tathimini.


Karibuni.
 
Ni kweli kwa kwa sasa Azam tv ndio kituo bora maana hakina upande.
Yah! Na hiyo ndo maana hasa ya media ambayo haija-declare political interest! Unapiga huku na huku bila kuogopa au kumuonea aibu yeyote!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…