Katika toleo lijalo la Kamusi la Tuki kutakua na neno hili jipya.

Murano

JF-Expert Member
Mar 11, 2012
2,058
1,099
MOYES. (nomino na kitenzi)
1. Mtu ambaye anacheka kijingajinga anaposhindwa mf. Kufeli kwako mtihani kumekufanya uwe moyes.
2. kukuta maendeleo pahali na kuyaondoa kabisaaa. Kumekuwa na umoyes tangu waziri wa nchi kuekwa mpya.
 
Kumekuwa na moyes kwenye wizara ya Elimu mara tu baada ya mh. Jacksoni Makweta kuondoka katika wizara hiyo mpaka sasa.
 
The words sound better in English, kiswahili ,yanaboa. ila I loved more the English version
 
MOYES. (nomino na kitenzi)
1. Mtu ambaye anacheka kijingajinga anaposhindwa mf. Kufeli kwako mtihani kumekufanya uwe moyes.
2. kukuta maendeleo pahali na kuyaondoa kabisaaa. Kumekuwa na umoyes tangu waziri wa nchi kuekwa mpya.

Basi itabidi iwe Moyesi kwa kiswahili na si moyes
 
Back
Top Bottom