I inocent Member Joined Jan 25, 2012 Posts 13 Reaction score 4 May 5, 2012 #1 Wana jamvi ninavyojua mimi Wizara ya Afya sio ya muungano. Walioteuliwa katika wizara hii(Waziri na Naibu wake) ni wabunge kutoka upande wa pili wa muungano(Zanzibar). Je hili linawezekana ? Naomba kujuzwa wanajamvi. I am standing to be corrected.
Wana jamvi ninavyojua mimi Wizara ya Afya sio ya muungano. Walioteuliwa katika wizara hii(Waziri na Naibu wake) ni wabunge kutoka upande wa pili wa muungano(Zanzibar). Je hili linawezekana ? Naomba kujuzwa wanajamvi. I am standing to be corrected.