Katika maisha lilia bahati, Ona vijana wadogo wanavyoongoza makampuni makubwa!

Rene Meza anaondoka si kwa matakwa yake katia hasara kubwa mnooooo so ni pressure kubwa anayotiwa ndio inayomsababisha kukabith na watanzania ndio walioipiga pesa ndefu Vodacom Rene Meza hawez wasahau technicians wa kibongo ni hatari kuliko wengi wahisivo:mod:

wala sio kweli. Rene kapata shavu mynamar.
 
Kumbe kuongoza, nilijua kumiliki.
Nitakuheshimu kama unamiliki ila sio kuongoza.
 
Kumbe kuongoza, nilijua kumiliki.
Nitakuheshimu kama unamiliki ila sio kuongoza.
Mkuu this kid is 32 years old! Ni nani hapa bongo anaweza kupewa kampuni kwa umri huo?!! Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni mimi namkubali na inabidi ifike mahali tufikie hapo. Sisi wenyewe na vijana wetu tunamiliki nini hasa au hata kuongoza ni kipi tunaongoza?? Kuna yule Kevin Twissa anaonekana yuko vizuri tu lakini kwa sababu ni meneja masoko basi tunaona kashafika kamaliza. Lakini pia kwa sababu hatumiliki hizi kampuni nadhani hatuwezi kulaumu sana
 
Mzee inaelekea una mawazo ya kuajiriwa sana.
Miliki mashine ya kukoboa mpunga nitakuheshimu ila hata ukiwa CEO wa Microsoft utakuwa umeajiriwa tu.
Hao wameajiriwa tu.
 
Mzee inaelekea una mawazo ya kuajiriwa sana.
Miliki mashine ya kukoboa mpunga nitakuheshimu ila hata ukiwa CEO wa Microsoft utakuwa umeajiriwa tu.
Hao wameajiriwa tu.
Ahaa nimekuelewa kaka, kumbe kuajiriwa ni udhaifu mkubwa sana! Nakubaliana na wewe ni bora umiliki mashine ya kukoboa ukobolee watu kuliko kuwa CEO wa Microsoft au hata Raisi wa nchi maana hizo ni ajira tu.
 
Kwahiyo hawa kachori ndio wana bahati,mi nlidhani wabongo wenzetu!!

Embu turejee kwenye umiliki wa kampuni yenyewe kwanza,hawana hisa kubwa hawa watu???kama wanazo hisa ulitegemea nini mkuu???
Wewe ndio umeongea point Hisa ndio kila kitu kwenye kampuni hata kama kampuni ni ya bibi yako kama hauna hisa za kutosha unaachia kampuni kwa wenye mabavu yao
 
Mkuu #Redbull kujiajiri hapa TZ ni ngumu sana. Rushwa na urasimu vitakugharimu sana. Mtu kuajiriwa huwa anakwepa urasimu na manyanyaso. Mfano wewe nunua daladala tu uone jinsi kila siku traffic wanavyokudai rushwa bila kosa. Mnapolinganisha kuajiriwa na kujiajiri fikirini na upande wa pili. Hao wazungu na wahindi mnaowasema wanapewa u CEO au umeneja wakiwa wadogo mkumbuke kuwa wao wana sera zao. Kwamba ukiwa between 25 mpaka 40 unakuwa active kiutendaji. Tofauti na sisi kupewa umeneja ni mpaka ufikishe miaka 50! Eti wanaamini umri huo busara ndio ipo. Na hapa TZ kupewa cheo haina maana kuwa unaweza ama umesoma sana bali ni mtoto wa nani ama kuna mtu mkubwa serikalini anayekujua.
Mambo ni mengi yanayochangia mtu kufanikiwa hapa nchini. Tofauti na wazungu au wahindi wao ukiwa na uwezo unapewa na sera yao ni kubebana lakini kwa vigezo vya uwezo.....
 
Ahaa nimekuelewa kaka, kumbe kuajiriwa ni udhaifu mkubwa sana! Nakubaliana na wewe ni bora umiliki mashine ya kukoboa ukobolee watu kuliko kuwa CEO wa Microsoft au hata Raisi wa nchi maana hizo ni ajira tu.

Kinachotakiwa ni mtu binafsi kuona how much unaingiza kwa siku. No matter umeajiriwa au umejiari, usije kataa kazi kwa mfano ya kulipwa Tsh 50,000/- kwa siku kwa sababu tu unamiliki kibanda cha mama ntilie kinacho kupa Tsh 20, 000/-. Kimsingi uwe unamili kampuni au umeajiriwa zote ni kazi tu (ajira) tofauti iliyopo ni kwamba job description ya upande wa kuajiriwa inasimamiwa na mtu mwingine. Ofcourse kuna mengi ya kufafanua ila all in all ni kwamba kujiajiri kupo na kuajiriwa kupo.
 
I was being sarcastic ila wewe utakuwa umenielewa vizuri kabisa.
 
Back
Top Bottom