Katika kufanya miradi ya taifa, ni sahihi rais kufanya siasa?

Maarab

JF-Expert Member
Jun 21, 2017
415
253
Inashangaza sana kiongozi wa nchi kama Rais anashindwa kudumisha haki kwa wote. Ziara anazofanya kufungua Miradi iweje atumie nafasi hiyo kufanya Kampeni. Hivi vyeo viwili Chairman na Mh. Rais sijui ni muda gani ama wapi hutumika kwa ustahili na kwa haki.

Ninachokiona hapa kama kiongozi wa nchi inatakiwa kuisimamia Haki na Usawa kwa wote bilakujali kuwa na Mapenzi ya Itikadi zako..
 
Back
Top Bottom