Katika kitu ambacho watanzania watawahukumu kuzuia Bunge Live

KakaKiiza

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
11,680
8,868
Nafatilia Bunge kwenye Radio hadi saa 10.00 Am Wakati Bunge limekolea ndo hakuna tena!Nakumbuka enzi ya Nyerere na Radio Tanzania!
Nafika ofisini naanza kudokoa katika Youtube ili nione bunge kilichojili!
Narudia kwa yeyote aliyefanya hivi Mungu atamuhukumu na kama Nape ndiye alihusika basi Mungu kaanza kazi yake na yeye itamchoma kama Pasi kwani kama alidhani nikuwakomoa wapinzani wasionekane majimboni basi nayeye huko Ntama wasiokuwa na Radio hawamuoni wala kumsikia!!Watanzania wanahitaji kupata habari za Bunge lao!
Nahishia hapa ila inaumiza sana.
 
Back
Top Bottom