Ni kweli hujui nani anaeongoza kusafiri jamani?? au ushapiga zanzi???Sasa ni dhahiri jimbo la Hai linarudi CCM baada ya Katibu wa Chadema HAI kutorokea CCM.
Wananchi wa Hai wamechoshwa kumuona Mbowe akisafiri mpaka kuwa mtaalamu wa kuweka gia za angani.sasa wanamtaka Danstan Mallya kuwawakilisha bungeni.
Jembe lazima litiwe mpini.
Atawalima na kuwapalilia
umesahau alinselema wameiga
Vipi yule mwenyekiti wa CCM wa wilaya ya Monduli aliyehama na wanaCCM wote wa wilaya kwenda CHADEMA?Kingunge ni mchovu katika siasa za kileo!
Kingunge ni mchovu katika siasa za kileo!
Yaani ukawa ni majinga na mamburura, ndio maana hayana hata vipaumbele. Lakini sishangai ndio maana hayaandai hata viongozi kutwa yanaazima wagombea, kila kitu ni kuazima hadi sera, yatajisaidia mwaka huu. Kama katibu hana madhara mnacomment nini simtulie?