Kibo255 JF-Expert Member Joined Aug 11, 2013 Posts 4,408 Reaction score 3,943 Aug 11, 2014 #21 safi sana kajitambua karibu kwenye ukombozi kamanda
M Mkorogo Dar Member Joined Jul 31, 2014 Posts 21 Reaction score 2 Aug 11, 2014 #22 kichondi77 said: Amejitambua karibu kamanda Click to expand... Uchaguzi umekaribia, CCM imeanza rasmi kupandikiza watu wake ndani ya Chadema ili iwe rahis kupata taarifa za cdm, so msiishie kufurah tu kwa ujio wa huyo katibu wa chama bila kufikiria kama katumwa au vip
kichondi77 said: Amejitambua karibu kamanda Click to expand... Uchaguzi umekaribia, CCM imeanza rasmi kupandikiza watu wake ndani ya Chadema ili iwe rahis kupata taarifa za cdm, so msiishie kufurah tu kwa ujio wa huyo katibu wa chama bila kufikiria kama katumwa au vip