IzukeneJr JF-Expert Member Joined Aug 4, 2012 Posts 758 Reaction score 753 Mar 27, 2017 #1 Wadau nimeusikiliza leo kwa mara ya kwanza huu wimbo wa huyu jamaa, Ki ukweli ni booonge la wimbo na Jamaa atapata show nyingi sana kwa huu wimbo ila sielewi maudhui yae hasa ni nini. Inasemekana ni kweli jamaa anamuimbia ndugu yetu Nape?
Wadau nimeusikiliza leo kwa mara ya kwanza huu wimbo wa huyu jamaa, Ki ukweli ni booonge la wimbo na Jamaa atapata show nyingi sana kwa huu wimbo ila sielewi maudhui yae hasa ni nini. Inasemekana ni kweli jamaa anamuimbia ndugu yetu Nape?
b5-click JF-Expert Member Joined Mar 21, 2012 Posts 2,194 Reaction score 2,114 Mar 27, 2017 #2 Weka hapa kabla haujafungiwa
IzukeneJr JF-Expert Member Joined Aug 4, 2012 Posts 758 Reaction score 753 Mar 27, 2017 Thread starter #3 b5-click said: Weka hapa kabla haujafungiwa Click to expand... Link hii hapa chief nimeona jamaaa kauweka Youtube:
b5-click said: Weka hapa kabla haujafungiwa Click to expand... Link hii hapa chief nimeona jamaaa kauweka Youtube:
b5-click JF-Expert Member Joined Mar 21, 2012 Posts 2,194 Reaction score 2,114 Mar 27, 2017 #4 Pa1 mzee baba