Kazi ipo kweli,maana kila moja amemshika mwenzake kwenye angle ya 18!
BMK inahitaji kura ya visiwani kupata 2 third ambayo ukawa wanayo,na 2 third ya bara ambayo CCM wanayo!
Lugha gongana hapa,wenye uamuzi ni kura ya maoni tu hamna namna au BMK lipige kura ya siri ndio ukweli utakuwa wazi maana hata wawakilishi wa CCM kunawengi wanataka serikali 3 wamelazimishwa tu kupiga kura ya wazi.