Je niki2 gani ungependa
kiwepo ktk
katiba mpya? Ckiliza maoni
yafuatayo; DEREVA: Trafik
wasiwepo
barabarani MWANAFUNZI:
Hesabu
zifutwe mashuleni
MFANYABIASHARA: TRA
itaifishwe
WANACHUO: Bodi ya
mikopo
imilikiwe na Dowans
WAKAZI WA
MBAGALA&GONGO LA
MBOTO
Ghala la mabomu lijengwe
IKULU!.
Lete maoni yako na ww!
Wako
Mjumbe wa kamati ya
kukusanya
maoni.