IFM Member Joined Jan 26, 2011 Posts 26 Reaction score 0 Mar 8, 2011 #1 Jamani naomba kujua ni blog ipi inatumika kukusanya maoni katika mchakato wa katiba mpya. naomba wataalamu wa IT watusaidie tutoe maoni yetu jamani tujenge nchi yetu ya karne hii.
Jamani naomba kujua ni blog ipi inatumika kukusanya maoni katika mchakato wa katiba mpya. naomba wataalamu wa IT watusaidie tutoe maoni yetu jamani tujenge nchi yetu ya karne hii.