Aiseee! Nilidhani watu wa Sampuli yako wanaoendelea kufikiria juu ya inferiority ya Waafrika mmeisha, kumbe bado mpo??,,,, Hatuhitaji viongozi imara, tunahitaji taasisi imara...Taasisi zitakazoweza kusimamia katiba kwa utimilifu wake.. Sio taasisi legelege vunjakatiba kama ya ccm.. Pia jamii hubadilika kutokana na wakati, na kwa sababu maoni yaliyopelekea kutengeneza katiba hiyo ni Wananchi Wa Kenya, basi ni sahihi kabisa kwao kuwa na katiba hiyo.. Otherwise unataka kujenga hoja ya kuendelelea kutetea katiba pandikizwa ya ccm.
Ingawaje watu wengi husifu sana Katiba ya Kenya, lakini mimi nina mawazo tofauti! Ninaamini hii Katiba itawarudisha Wakenya nyuma sana, ukiiangalia vizuri utaona ya kwamba ni Katiba nzuri lakini sio kwa nchi masikini na inayoendelea kama Kenya!
Kenya bado ina changamoto nyingi sana kama zilivyo nchi nyingi za Kiafrika. Kwa mfano nchi nyingi za Kiafrika wala huwezi hata kuziita Taifa (Nation), bado ni makundi mbalimbali ya watu yanayooishi kwenye nchi moja na kila kundi lina maslahi yake binafsi na wala sio ya nchi nzima!
Sasa ili uweze kujenga Taifa jambo ambalo ni muhimu katika ustawi wa nchi yoyote ile Duniani, unahitaji kuwa na rais au kiongozi aliye na madaraka makubwa, madaraka ambayo yatamuwezesha kuchukua maamuzi magumu lakini ya lazima na yasiyopingwa mahali popote kwa manufaa ya nchi yote, lakini hili sasa hivi Kenya haliwezekani tena.
Kwa mfano tangu Uchaguzi uliopita uliomuingiza Uhuru Kenyatta madarakani, ni kama bado nchi iko kwenye uchaguzi, Uhuru Kenyatta wala hapewi muda wa kupanga na kutekeleza sera zake, kila siku maandamano, hakuna uamuzi atakaochukua ambao hautapingwa kwa maandamano.
Kwa mfano sasa hivi nasikia kuna wabunge wanataka kumshitaki rais wa nchi, sasa atafanya kazi saa ngapi? Ni hivi majuzi tu ametoka kumalizia kesi ya ICC, hajakaa sawa sijui Sukari watu wanapinga, mara sijui waalimu na yote haya ni kwa sababu Katiba mpya inaruhusu!
Hivyo kwangu mimi hii Katiba ya Kenya itawasumbua sana huko mbeleni, kwani ni kosa kubwa sana kwa nchi changa kuvunja vunja madaraka ya rais/ kiongozi na ndio maana hata Wazungu walilijua hili, wakati wa Ukoloni Magavana walikuwa na madaraka makubwa sana na ndiyo waliojenga hizi nchi zetu!!

haya ni baadhi ya matokeo ya katiba mpya kupeleka pesa na mamlaka mashinani kwa wananchi kupitia serikali zao za kaunti!!!
BAADA YA MACHAKOS COUNTY SERIKALI ZA KAUTI mbali mbali ZINAJITAHIDI KUINUA SEKTA YA AFYA hATA KAMA BAADHI YA VIONGOZI KATIKA SERIKALI KUU WANAKUPIGA VITA UGATUZI!!!
Kwani unahitaji Katiba mpya ili uweze kujenga Hospitali?
Halafu isitoshe sijasema kwamba Katiba ya Kenya ni mbaya au haina manufaa yoyote kwa nchi ya Kenya, bali nilichosema ni kwamba ni Katiba nzuri sana lkn kwa nchi changa za Kiafrika ambazo bado hata hazijaweza kujenga Taifa itawasumbua sana!
Siku moja utakuja kuja shahidi yangu, ni mwiko kabisa kwenye nchi changa kama zetu zakiafrika kuondoa madaraka ya Raisi, hilo ni kosa kubwa sana nakumbuka Raisi Moi aliwaonya Wakenya sana kwenye hili lkn siku moja mtakuja kumuelewa!
Aiseee! Nilidhani watu wa Sampuli yako wanaoendelea kufikiria juu ya inferiority ya Waafrika mmeisha, kumbe bado mpo??,,,, Hatuhitaji viongozi imara, tunahitaji taasisi imara...Taasisi zitakazoweza kusimamia katiba kwa utimilifu wake.. Sio taasisi legelege vunjakatiba kama ya ccm.. Pia jamii hubadilika kutokana na wakati, na kwa sababu maoni yaliyopelekea kutengeneza katiba hiyo ni Wananchi Wa Kenya, basi ni sahihi kabisa kwao kuwa na katiba hiyo.. Otherwise unataka kujenga hoja ya kuendelelea kutetea katiba pandikizwa ya ccm.
Wewe umecram tu maneno.
Ofisi ya Rais pia ni taasisi kiaina, au hilo hulijui?
Nakubaliana na wewe. Katiba ya Kenya naikubali sana na imeleta maendeleo sana tu. I just thought you used that quote out of context.Nalijua hilo Msemakweli, ndio maana tunakuja. Kugundua kwamba Taasisi hiyo ya Rais ikiwa dhaifu, katiba haitatekelezeka maana yeye ndiye Top Executive, sasa kwa wenzetu Kenya tunaona kama wanakumbwa sana na matatizo lakini kwa upande wa pili wanapiga hatua kubwa sana kimaendeleo... Kwa upande wetu hata kama JK angekubali katiba ipite tusingeenda mbele kwa sababu Taasisi ya Urais itaendelea kuwa dhaifu chini ya ccm, wakishashiba wanasahau wananchi wao.. Poor Us
Nalijua hilo Msemakweli, ndio maana tunakuja. Kugundua kwamba Taasisi hiyo ya Rais ikiwa dhaifu, katiba haitatekelezeka maana yeye ndiye Top Executive, sasa kwa wenzetu Kenya tunaona kama wanakumbwa sana na matatizo lakini kwa upande wa pili wanapiga hatua kubwa sana kimaendeleo... Kwa upande wetu hata kama JK angekubali katiba ipite tusingeenda mbele kwa sababu Taasisi ya Urais itaendelea kuwa dhaifu chini ya ccm, wakishashiba wanasahau wananchi wao.. Poor Us