Ab-Titchaz
JF-Expert Member
- Jan 30, 2008
- 14,630
- 4,267
Jipatie nakala yako ya Katiba mpya ya Kenya ambayo kwa kweli imefanya mabadiliko ambayo yanaonekana wazi.
Kwa wachambuzi wa sheria, mnaweza kuchungulia na kuona kama there is something worth learning from.
THE CONSTITUTION OF KENYA
Personally napenda CHAPTER SIX-LEADERSHIP AND INTEGRITY
copy and paste ni kilema cha kizazi kipya!Kenya sio Tanzania na wakenya sio watanzania!tuandae katiba yetu bila kudesa.
Nafikiri jamaa ameomba mtizame humo ndani kama kuna kitu cha kupendeza wala si copy and paste. Hata sisi hapa Kenya ilibidi tusome katiba za nchi zingine na pamoja na maoni ya wananchi.copy and paste ni kilema cha kizazi kipya!Kenya sio Tanzania na wakenya sio watanzania!tuandae katiba yetu bila kudesa.
Hiyo ni ninyi kenya!Kawaida yenu kucopy na kupaste from UK au USA!Nafikiri jamaa ameomba mtizame humo ndani kama kuna kitu cha kupendeza wala si copy and paste. Hata sisi hapa Kenya ilibidi tusome katiba za nchi zingine na pamoja na maoni ya wananchi.
Skiliza msomi, sisi tuliangalia katiba hadi ya Brazil na hata Urusi, yaani dunia nzima, wacha upumba na ukubali kuna mambo mengi hayafai re-inventing.Hiyo ni ninyi kenya!Kawaida yenu kucopy na kupaste from UK au USA!Ni bora akatuwekea ya UK au USA for cross reference.
Hiyo ni ninyi kenya!Kawaida yenu kucopy na kupaste from UK au USA!
Ni bora akatuwekea ya UK au USA for cross reference.