Wateule wa Rais na Waziri Mkuu kuongoza taasisi ya kupambana na rushwa kenya wapigwa chini na kamati(vetting commitee). Kamati ya mwambia Rais chagua tena hawa hawafai!
Kenya wana katiba nzuri sana nchi zote ukanda wa EA ikiwemo Tanzania hawana haja ya kuangaika kuunda katiba mpya wangeichukua katiba ya Kenya waifanyie marekebisho kidogo sana ili kupunguza gharama na kupoteza muda bure.

Serekali ya Zanzibar haina tofauti na serekali ya mkoa wa Dar.Serekali kamili lazima imiliki dola ulinzi,Usalama na mambo ya nje.Nyerere aliwapiga bao la kisigino.
Kenya inayo serikali moja kuu na serikali za majimbo(counties) ambazo zitaongozwa na Governers. Katiba ya Kenya na marekebisho kidogo pia inaweza ikawa ndio katiba ya Federal East Africa.
Tatizo la katiba yetu ilitawaliwa na suala la posho (Maana wabunge wa CCM waliijadili na kuipitisha haraka bila kufahamu kuwa hata wao inaweza kuwaathiri wakidhania rais atarejesha fadhila kwa kusign posho). Sasa ndiyo madhara yake moja ni kuzuia mjadala wa katiba!
wakuu mmesahau kuwa wanaharakati wa jukwaa la katina na chadema wanataka kwenda kuuliza maoni mpaka kwa babu yangu huko kijijini halafu nyinyi mnasema wakopy katiba ya kenya?