captain dunga
JF-Expert Member
- Jun 5, 2014
- 282
- 638
Kwanza tambua hakuna duka la xiaomi Tanzania ata agent tu hakuna, hio bei pia sio bei halisi ya hio simu ingia aliexpress uagize kaa bei pungufu, note 8 zina range 350,mpaka 420,na kama siomtu wa mambo mengi chukua poco m3, variety ya 64 gb unaipat around 335 mpka 350 aliexpress
Sio upigaji mzee kumbuka bei inajumuisha mengi hio, unalipia pango unalipia, umeme na kodi humo humo ya Tra, kama mfuko wako sio wa mashaka next week chukua jiwe linaitwa redmi note 10 , litakua reliased na ninaimani 3days later unaipata aliexpress ikiwa inauzwa na kusafirishwa kuja ulimweng wetu wa tatu.shukrani mkuu, kwahiyo jamaa ni wapigaji aisee.???
Mpka leo una note 4Xiaomi note 4 yangu..nakipenda kisimu hiki.
Sio upigaji mzee kumbuka bei inajumuisha mengi hio, unalipia pango unalipia, umeme na kodi humo humo ya Tra, kama mfuko wako sio wa mashaka next week chukua jiwe linaitwa redmi note 10 , litakua reliased na ninaimani 3days later unaipata aliexpress ikiwa inauzwa na kusafirishwa kuja ulimweng wetu wa tatu.
Imeshaanza kuuzwa india kwa bei ya $234(tsh 542646.00).hii note 10 ,kwa makadirio itazidi laki 6 bei.??????
Siku hizi ukinunua kitu aliexpress huwa kinatua kwanza kwenye mikono ya TRA!Sio upigaji mzee kumbuka bei inajumuisha mengi hio, unalipia pango unalipia, umeme na kodi humo humo ya Tra, kama mfuko wako sio wa mashaka next week chukua jiwe linaitwa redmi note 10 , litakua reliased na ninaimani 3days later unaipata aliexpress ikiwa inauzwa na kusafirishwa kuja ulimweng wetu wa tatu.
Siku hizi ukinunua kitu aliexpress huwa kinatua kwanza kwenye mikono ya TRA!
Sasa kodi ni asilimia ngapi, kwaniHapo ndo atajua hajui [emoji3][emoji3]
Sasa kodi ni asilimia ngapi, kwani
Uwe unatoa miongozo na wewe pia.Ngoja waje kukupa muongozo...
Anazinguaga sana huyuUwe unatoa miongozo na wewe pia.