Kitheory na logic inaonesha Wakiristo wanaongoza kwa nyumba ndogo! Due to the fact that wamekosa nafasi HALALI ya kuengeza mke!
...
In practise, the issue of nyumba ndogo haidepend religion!
Its purely the habit of someone! ie you can be a muslim with 4 wives and there have possibility to have more than 4 nyumba ndogos instead of those wives!!!!
...
I hope you catch me!
Mke mmoja hatoshi Mkuu. Lazima apate msaidizi mmoja au wawili inategemea mfuko wako uko vipi

I catch you Mashaxizo, true say
Naomba dada zetu mlioolewa na watu hawa mtusaidie.
Zingatieni: Waislamu wanaruhusiwa kuoa wanawake hadi wanne.Imani yao imesema hivyo na ninaiheshimu.
: Wakristo wanaruhusiwa kuwa na mke mmoja ndiyo imani yao inavyosema hivyo na ninaiheshimu.
Nyumba ndogo ni mahusiano yanayoibuka nje ya ndoa?Nini tatizo?Au ni shetani tu yuko kazini?Au ni tabia ya mtu binafsi?Au mke mmoja hatoshi?
Karibuni kuchangia mada bila kumkashifu mtu au dini ya mtu.
Nawasilisha mada.
halafu kaka hii avatar yako mweh! si uibadilishe jamani? jamaa hanyamazi analia tu!
tegemea vivyo hivyo kutoka kwa mwanamke!!
Sjui hasikii, wew hebu achakulia
sidhani kama ina uhusiano na dini, kabila and so on