Kati ya wanasiasa vijana waliotumbuliwa Januari, Mwigulu na Nape nani anajipendekeza sana kwa Mkulu ili arudishiwe Uwaziri

Amekuwa akishauriwa aangalie namna ingine ya kurudi kwenye siasa 2025 na kwa kwa Uchaguzi huu aongee na wawaniaji wengine wakubaliane nani agombee lkn amegoma na ameshupaza shingo ambayo kabla hata ya Oktoba Mwaka huu itakatika kaaaaaa!
Hawezi rudi tena ishu ya wasiojulikana ilishamchafua aweke tu kulima alizeti
 
Kweli tupu, kumbuka kipindi cha Mwigulu haikuwa shida kujeruhi, kusingizia, kubambikiza hata kudhuru mwili ili kumpendeza mkulu

Sent using Jamii Forums mobile app
Alijisahau sana. Mimi mwenyewe ndugu yangu alijaribu kugombea naye Chamani Mwaka 2015 kilichomkuta - hana hamu na Mwigulu. Alichezewa rafu km zote vile. Sasa kwa Mwaka huu Ndugu yangu kajipanga na tumempanga kwa kweli ni lazima amtoe Mwigulu.
 
Habari njema hiyo, naye arudi mtaani, ni kijana wa hovyo sana na mwenye hila kupitiliza
Alijisahau sana. Mimi mwenyewe ndugu yangu alijaribu kugombea naye Chamani Mwaka 2015 kilichomkuta - hana hamu na Mwigulu. Alichezewa rafu km zote vile. Sasa kwa Mwaka huu Ndugu yangu kajipanga na tumempanga kwa kweli ni lazima amtoe Mwigulu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
huyo January mnavyomuoverrate,utadhani ni mtu kipanga,ebu nikuulize toka enz za kikwete huyo January alikua waziri alishaleta innovation gani kwenye wizara alizoziongoza kama kweli ni kichwa?
Mkuu, umeshasahau hivi punde suala la mifuko ya plastiki, kijana aliendesha hamasa kubwa na kwa ustaarabu wa hali juu, hata siku ambayo mifuko hii ilipigwa marufuku rasmi haikuleta usumbufu ama manung'uniko mengi kutoka kwa wote watumiaji na wazalishaji.

Ebu jaribu kulinganisha na mazoezi mengine yaliyotokana na matamko yalivyoendeshwa. Mathalani, kupiga marufuku viroba, kuzima laini za simu, usafi siku ya Jumamosi ya mwisho wa mwezi, japo kwa kutaja machache.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mnyiramba yule kazidi
Kajianzishia thread ya kuomba kuhurumiwa
 
Bila shaka yeyote ni mwigulu kwa sasa.Na ikiwa itakujakutokea tena awamu ya utenguzi na uteuzi kabla ya uchaguzi mkuu October na asiwemo ktk list ya angalau uDC huenda tukampoteza. Mzee wakupiga kwata yeye keshakata tamaa kabisa.
 
Hao ambao wazazi wao wanamizizi chamani hao wazazi wao walianzia wapi?
Acha kuendekeza ufalme na kuhisi kila aliyenamzazi chamani ndio anafaaa na wasio na ndugu hawafai.
Namagufuli wazazi wake walikua chamani na mizizi???
Januari na Nape ni watoto wa mujini.... families zao zina mizizi chamani.

whilst Mwigulu ni mtindiga fulani hivi aliyeibukia chatini from nowhere!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwigulu jembe Sana Anajua vizuri Fitna za siasa
Ipo siku naamini atakuja kuwa mtu mkubwa sana kwenye Chama na serikalini pia.
Anakitumikia Chama kwasababu yeye nikiongozi wa chama, hakugombea uwaziri aligombea ubunge na bado ni mbunge aliyedhaminiwa na CCM kwa nafasi hiyo, Alipewa nafasi ya kuhudumu kama waziri na serikali inayoundwa na CCM sasa kutolewa kwenye uwaziri sio Shida wanachama niwengi Sana haiwdzekani kila mmoja akawa waziri.
Kwamba wabunge wasio mawaziri ni wanashida yoyote?
Endelea kukitumikia Chama Mwigulu Mungu atakupandisha Siku moja kwa kutokua na kiburi na kuwa humble

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom