Kati ya Toyota Raum na Toyota Ractis ninunue ipi?



Umewahi ona wapi raum ikawa na engine ya 1300cc🤔🤔

Ractis inakujà na engine mbili ..iko 2sz hii ina 1300cc na 1nz hii ina 1500cc

Raum za kwanza zilitoka na 5E engine hii ililkuwa na 1500cc na raum new model ikaja na 1nz ambayo imetumika kwa ractis pia na kina allex ,premio, ist nk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…