Kati ya software developer na software engeneer ni kipi kizuri?

Kati ya software developer na software engeneer ni kipi kizuri?

Mastermind3039

New Member
Joined
Mar 2, 2022
Posts
1
Reaction score
0
Wakubwa,

Hivi kati ya software developer na software engeneer ni kipi kizuri kusoma na faida zake ni zipi!?
 
Wakubwa,
Hivi kati ya software developer na software engeneer ni kipi kizuri kusoma na faida zake ni zipi!?
Mtu yoyote anaweza kuwa software developer(hii ni specialization inatoka zaidi kwa watu wanaosoma computer science na IT) lakini hawezi kuwa software engineer mpaka aende jalalani au chuo cha kata kupiga book la engineering 4 years.

Software engineeer anauwezo kuliko software developer.

Full stop.


Lakini kiuhalisia kwenye mambo ya software utakula kwa kadili ya uwezo wako hakuna kinachozidi kingine issue ni uwezo na konekisheni njoo tupige window kariakoo
 
find-the-difference.png
 
Wakubwa,

Hivi kati ya software developer na software engeneer ni kipi kizuri kusoma na faida zake ni zipi!?
Software Engineer ni software developer, lakini si Kila software developer ni software engineer.



Software Developer ni mtu yeyote yule anaeandika code kwa ajili ya kutengeneza program.



Software Engineer ni mtu anaefuata standards zilizopitishwa Kwa ajili ya kutengeneza mifumo.

Kwa hivyo engineer inahusisha kufuata standards.

Kizuri kusoma ni Software Engineer Kwa sababu utakuwa unatengeneza mfumo ambao unafuata standards.

Nini faida ya kutengeneza mfumo unaofuata standards?
1. kutengeneza mfumo ambao ni rahisi kuuboresha (Maintainability). Kila kukicha mifumo inahitaji maboresha hivyo ni vyema kutengeneza mfumo ambao ni rahisi kuuboresha.

2. Kutengeza mfumo ambao ni rahisi Kwa wengine kuuelewa. unaweza kuwa umeajiliwa na kampuni Fulani lakini kesho haupo hapo. Hivyo ni vyema kuwa na mfumo ambao hata akizisoma code mtu mwingine basi iwe rahisi kuuelewa.
Mfano kwenye mfumo wako umetumia Model View Controller (MVC) ni rahisi mtu kujua package hii itakuwa inafanya kazi Fulani

3. Kutengeneza mifumo imara na yenye efficient kubwa Kwa nguvu kidogo. Mfano mzuri ni google kuanzisha view model kwenye android development. inarahisisha maisha ila pia ni effective.
 
Back
Top Bottom