Ipo iitwayo FOOD SCIENCE TECHNOLOGY Chuo kikuu mbeya na nyingine inaitwa WATER QUALITY LABORATORY TECHNOGY katk Chuo cha Maji Ubungo...naombeni ushauri ipi inafaaa na ajira zake zina unafuu kupatkana
Usisome kwa kutegemea ajira kwa Tanzania ya sasa,mimi mwenyewe nasoma ila nimejandaa kisaikolojia tayali.
Ila kama ajira chukua Food science technology.