Kati ya Mchungaji Rwakatare na Gwajima, CCM watuambie nani mwanasiasa?

Return Of Undertaker

JF-Expert Member
Jun 12, 2012
4,572
26,885
Habari wadau!

Rwakatare inaonekana ana kadi ya chama cha mapinduzi CCM na kwa mara ya pili anaingia kwenye ubunge wa vitu maalum ndani ya chama hicho kwa ligha nyingine ni mwanasiasa.

Sasa ccm inasema kuna mchungaji ni mwanasiasa ila hawamsemi huyu mama sasa mie nauliza nani mwanasiasa kati ya hao wawili?
 
Huwa wanasingizia usiasa pale wanapoona wanashindwa, ila ikiwa issue zao wanasahau
 
Ccm ni kikundi cha matapeli wenye Siasa za visasi kugawa watu kwa misingi ya dini,ukabila,ukanda,cheo,umaskini na utajiri,pale ambapo maslahi yake ya kubaka nchi inapoingiliwa na mtu yeyote na hata kuua,kuteka,kubambikiza kesi na kumtungia mtu yeyote fitina na uongo
 
Lile hekalu lake pale Kawe Beach lilivunjwa? Maana alijenga kwenye hifadhi ya maji kama wale wanyonge waliovunjiwa Kinondoni na Jagwani
 
Ila Rwakatare huwa haweki mahubiri ya siasa ndani ya kanisa lake.
kma ulimskia gwajima carefully alisema yye sio mwanasiasa ssa wanavyomtukana na kumchafua mnataka ajibu wapi??? ndio maana huwa anasema "wakinichokoza ndio nitawapiga" sasa kosa kwa gwajima likwapi?? kma ni siasa makanisani lukuvi alisema waombe serikali tatu zisije maana zanzibar itakuwa taifa la kiislam nkaona kimya hamkusema kitu then huyu gwajima akitukanwa then akijibu inakuwa nongwa mlitaka afnyeje mbona lusekelo kila siku anatukana ukawa na kumsifia magufuli ila hamuoni kma anafanya siasa??

Tuwe fair jamani kma hamumfokei lusekelo wala kumfuatafata basi na gwajima mumuache
 
Ila Rwakatare huwa haweki mahubiri ya siasa ndani ya kanisa lake.
Aweke siasa kanisani amseme nani?. Bibilia yenyewe inamtaka kiongozi wa dini aonye, akaripie, arekebishe kondoo wake bila kuangalia rangi, kabila wala muyunani ama muyahudi. Sasa Gwajima hapo halembi ndiyo maana aliwachana live waliosema anataka uongozi akasema kwa yeye kuwa mbunge ama raisi itakuwa ni demotion kasema yeye ni zaidi ya raisi.
Uthibitisho wa hilo hata raisi ameenda kwenye ibada yake kutaka baraka kwa kiongozi wa dini. Ukicheza na Gwajima umechezea koki mbovu kulowa halali yako.
Harembi, hajui chenga anachojua ni magoli tu na kuhesabu pointi.
Wengine ni sawa na mbwa wasio na meno hawana madhara ni kelele tu.
Kwani huyo Rwakatare akiwa mbunge kuna hata hoja aliyowahi kutikisa bungeni akaandikwa hata na magazeti ya udaku?. Kama ipo isemwe huyo hana madhara kwa pilato.
 
Ila Rwakatare huwa haweki mahubiri ya siasa ndani ya kanisa lake.
Andika sentesi moja isiyo na siasa ndani yake!Ukisema waumini wangu mfuate sheria za nchi,ushazungumza siasa!Ukisema waumini mfanye kazi,tayari ni siasa!Tunaishi siasa!
 
Habari wadau!

Rwakatare inaonekana ana kadi ya chama cha mapinduzi CCM na kwa mara ya pili anaingia kwenye ubunge wa vitu maalum ndani ya chama hicho kwa ligha nyingine ni mwanasiasa.

Sasa ccm inasema kuna mchungaji ni mwanasiasa ila hawamsemi huyu mama sasa mie nauliza nani mwanasiasa kati ya hao wawili?

halafu kwa akili ndogo hizi usikute wewe ni baba wa familia au mama wa familia

waachie toddlers wawe na akili ndogo kama hizi
 
halafu kwa akili ndogo hizi usikute wewe ni baba wa familia au mama wa familia

waachie toddlers wawe na akili ndogo kama hizi
Dah afu wwe unajiitaga mpinzani??? ssa kma hana akili then tuonyeshe upande wa pili jibu hoja zake lugha za matusi zina taji gani na kukejeli???
 
Ona mawazo ya kitoto ya mtu aliyekosa hoja. Haya basi mwanasiasa Mchungaji Msigwa. Angalau ungewahoji CCM kama hawana mtu mwingine tena damu changa fulani zaidi ya Rwakatare? Japo alikuwa anafuata katika kura ungehoji makando kando yake katika manunuzi mbali mbali ya mali za Shirika la Bima la Taifa, Tazara, mashamba na kesi zake za kutapeli ama kudhulumu. Usifanye siasa kwa nguvu ya chuki iliyokujaa, fanya siasa kwa nguvu ya hoja upate uungwaji mkono na wastaarabu, uweze kujitetea, uiwezeshe itikadi yako kupata washabiki na wafuasi kuliko kukurupuka na kuanza kujivua nguo unakokufanya
 
Dah afu wwe unajiitaga mpinzani??? ssa kma hana akili then tuonyeshe upande wa pili jibu hoja zake lugha za matusi zina taji gani na kukejeli???
unaharibu jina la zitto

zitto sio mjinga, hana childish argument, hakosei spelling hovyo hovyo

sasa ukiwa mpinzani ndio unakubali kila hoja? zitto hayuko hivyo
 
Habari wadau!

Rwakatare inaonekana ana kadi ya chama cha mapinduzi CCM na kwa mara ya pili anaingia kwenye ubunge wa vitu maalum ndani ya chama hicho kwa ligha nyingine ni mwanasiasa.

Sasa ccm inasema kuna mchungaji ni mwanasiasa ila hawamsemi huyu mama sasa mie nauliza nani mwanasiasa kati ya hao wawili?
wacha wafu wazikane, bora hata wangechukua wakata viuno wanaovuja jasho kwqa ajili ya chama nao wakapigwe ac :D:D
 
unaharibu jina la zitto

zitto sio mjinga, hana childish argument, hakosei spelling hovyo hovyo

sasa ukiwa mpinzani ndio unakubali kila hoja? zitto hayuko hivyo
Zitto naye si kma wwe tu hajawahi kuwa mpinzani na hatowahi kuwa mpinzani!!

Pili, hoja zako nyingi mkuu ni vague ssa kuna haja gani ya kumtukana mtu bila kujibu hoza zake?? Whats the point??? Issue yangu ni kwenye maadili tu ambayo wwe huna acha kutukana watu kma huna jibu kaa pembeni wengine watajibu ndio maana am suprised mpinzani gani huwezi kujenga hoja zaidi ya kutukana ssa kma kushauriwa huko ndio kumenifanya niwe na argument ya kitoto then well and good i rest my case
 
ukiwa mwanasiasa na ukawa upande wa ccm haina shd kabisa.....hata kama uko mchungaji ni safi sana,,, tena ukawa unatumia maneno ya Biblia kuponda wapinzani ni burudani,,,,,,,,,,,,,,,hata huku mtaani kwetu ukiwa mpizani mzuri sana.......hakika maisha yako yatakuwa hatarini.
 
Back
Top Bottom