lupe leonard
Member
- May 29, 2016
- 53
- 15
Acha uongoSua ardhi utakufa njaa labda architecture
nenda kasomeAcha uongo
Kuna watu wamesimama Yale Univ Na wamelost, Na kuna waliosoma cbe (hicho chuo sijawahi kukielewa wala kukichukulia serious) Na wametoka wanakimbiza ile mbaya! Wakati unachagua kozi uwe umeshawaza 20 ways of how to use it to your benefits. Ndio la msingi nadhani
Nimesoma, nimemaliza, na sijutii...nenda kasome
Ahahahahahahahaha Mkuu CBE unakichukuliaje?Kuna watu wamesimama Yale Univ Na wamelost, Na kuna waliosoma cbe (hicho chuo sijawahi kukielewa wala kukichukulia serious) Na wametoka wanakimbiza ile mbaya! Wakati unachagua kozi uwe umeshawaza 20 ways of how to use it to your benefits. Ndio la msingi nadhani
Hebu edit thread yako uiandike vizuri. Swali lako linaweza kuwa serious ila majibu yakawa tofauti. Naona nukta nyingi na sijui sentensi inaanzia wapi na inapoishia.hivi wanajf..katika hivi vyuo kati ya ardhi na sua...ni course gan ambazo unazikubali sana...hpo kati ya hizi hapa na kuhusu hasa soko la ajira bongo....kati ya hizi ARDHI- bcs of land management &valuation 2-bcs of urban and regional planing 3-bcs of housing & infrastructure planning...........then kwa SUA- bcs of agricuture economics &agribusiness..2bcs of tourism......vipi...zipi hpo...zipo vzur....na hazisumbui angalau sokoni nianze na ipi af niishie na ipi??
Hilo Shamba analo?Mawazo yako ndio yameishia kwenye kuajiriwa tuu?? Mimi ningekuwa wewe, ningesoma SUA then niingie shambani.