Kati ya hawa ni nani mjanja na nani ni lofa wa kutukuka?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
59,949
119,216
Hivi anayeshuka kutoka katika Gari na kupanda Daladala kwenda Ofisini na anayeshuka kutoka katika Daladala na kupanda Bajaji kwenda Ofisini nani ni " mjanja " zaidi na nani ni " lofa " zaidi?

Karibuni " mtiririke " tafadhali.
 
Nin tofauti kati ya Gari na Daladala...?
 
Back
Top Bottom