Kati ya Bach of Science in Agriculture and Natura

Habari wana JF kuna post nimeituma hapo haikukamilika, lakini dhumuni ni kuomba ushauri wenu kati ya kozi hizo tajwa hapo juu ipi ipo poa Sana.

Habari ndugu, naombeni msaada wenu wa mawazo.
 
Habari wana JF kuna post nimeituma hapo haikukamilika, lakini dhumuni ni kuomba ushauri wenu kati ya kozi hizo tajwa hapo juu ipi ipo poa Sana.
Bach of Science in Agriculture and Natural Resources Economics Business na Bach of Arts in Economics
 
Huyu anachohitaji ni shauri ya kwamba ipi ni nzuri kati ya BA in Economics and BSc in Agricultural and Natural Resource economics & Business (BScANEB). Hizi zote ni degree mpya za UDSM. Je unataka kuzilinganisha kuwa ipi ina soko, ipi inakufaa au kwa kigezo kipi. Funguka utapata ushauri.
 
Ndio katika soko nilitaka kujua
 
Back
Top Bottom