Hii habari ya rapa wa Marekani Young Thug kupewa ofa ya $ 9Mil na Bill Gates ili aache mziki huwa inaniacha hoi, hivi jamaa bado anaendelea na mziki au alikubali ofa?

Si kweli man, ni story tu. Sijui zilianzia wapi, ila waliozianzisha walikuwa wanamaanisha Jamaa hafai kufanya rap, au muziki kwa ujumla. Hiyo style waliyotumia, ni sanaa ya tu lugha.

Wanaona hawezi muziki,ila anatengeneza pesa na unaendelea kufanya collabo kibao. Nafikiri wakati wa sasa watu hawatazami zaidi lyrics bali ubunifu wa vitu vingi Sana.
Mtazame mtu Kama Bob Shmurda ni type ya wasanii hawa

Usipende kuamini kila unachokiona katika mitandao just do a short research even before posting.
Mtandao uliotoa hiyo habari unatafuta traffics kupitia habari za Uongo.
Uliisha report kwamba Mwanadada Miley Cyrus amepima UKIMWI nakukutwa yuko positive.
Just try to think out of the box, Thug anapata pesa kiasi gani mpaka Bill gate ampe 9Mil usd ili aache muziki ?
Lil wayne mwenyewe anaidai Cash money 51Mil USD pesa ambazo ata akipewa hawezi kuacha muziki. It's all about addiction not only Fame