Katembea na msichana mwenye UKIMWI, je nimwambie?

juvenile davis

JF-Expert Member
Apr 13, 2015
4,752
4,463
Jamani leo nina habari ya kuhuzunisha kidogo.

Nina msichana ambaye ninamheshimu kama dada yangu,ila pia nina mshikaji wangu ninayemuheshimu kama kaka yangu,kwa bahati mbaya hawa watu ni wapenzi ila sijajua walitongozana lini na wapi ila mi nilishangaa tu ni wapenzi na inaelekea mapenzi yao ni ya muda.

Maana walikuwa wakionana wanashangiliana sana so mimi nilidhani tu kwamba wanajuana,kumbe wanamegana bwana. Sasa jana msichana ndio kaniambia kwamba jamaa yangu ndie anaekula tunda(nikashtuka sana),jioni nikaonana na mwana nikapiga nae story sana,nikamuanzia mbali hadi akaropoka kwamba anakula tunda pale,na ananiambia anakula dry bila zana(anakanyaga tope bila buti).

Sasa mi yule dada namjua ana ngoma live,nina uhakika na ninachosema japo yeye hajui kama mimi najua ana ngwengwe,ila mi najua na nina uhakika wa 100%(usiniulize nimejuaje ila we elewa hivo)

Sasa waungwana nipeni ushauri je nimwambie jamaa kwamba alipo sipo au nimuache aendelee kujifia? Kumbuka wote ni washikaji zangu sana.
 
Nikiwa na mshkaji wangu akapita demu mwenye ngoma namwambia yuleeeeee ana ngoma usisogeze pua... Sasa Ww unaona kbs mazoea yao na bado ukabaki kimya..

Inafaa ushtakiwe pamoja na huyo Dada kwa mauaji
 
Sitosahau siku niliyogonga mwenye ngoma, japo nilitumia kinga kwenye dushe, kidogo mdomo na ulimi viniponze, nilishi mwaka mzima sina raha, chuo maisha yakawa magumu kwa mawazo.

Jamani leo nina habari ya kuhuzunisha kidogo.nina demu ambaye ninamheshimu kama dada yangu,ila pia nina mshikaji wangu ninayemuheshimu kama kaka yangu.kwa bahati mbaya hawa watu ni wapenzi ila sijajua walitongozana lini na wapi ila mi nilishangaa tu ni wapenzi na inaelekea mapenzi yao ni ya muda.maana walikuwa wakionana wanashangiliana sanaso mimi nilidhani tu kwamba wanajuana,kumbe wanamegana bhana.sasa jana demu ndio kanichana kwamba jamaa yangu ndie anaekula tunda(nikashtuka sana),jioni nikaonana na mwana nikapiga nae story sana,nikamuanzia mbaaali hadi akaropoka kwamba anakula tunda pale,na ananiambia anakula dry bila dhana(anakanyaga tope bila buti).sasa mi yule dada namjua ana ngoma live.nina uhakika na ninachosema japo yeye hajui kama mimi najua ana ngwengwe,ila mi najua na nina uhakika wa 100%(usiniulize nimejuaje ila we elewa hivo).sasa waungwana nipeni ushauri je nimwambie jamaa kwamba alipo sipo au nimuache aendelee kujifia? Kumbuka wote ni washikaji zangu sana
 
Haina haja ya kumwambia zaid mpe ushauri akacheki afya,maana ukikurupuka tu kuanza kumwambia utamuathiri kisaikolojia,mshauri akapime ajionee mwenyewe.
 
Jamani leo nina habari ya kuhuzunisha kidogo.

Nina msichana ambaye ninamheshimu kama dada yangu,ila pia nina mshikaji wangu ninayemuheshimu kama kaka yangu,kwa bahati mbaya hawa watu ni wapenzi ila sijajua walitongozana lini na wapi ila mi nilishangaa tu ni wapenzi na inaelekea mapenzi yao ni ya muda.

Maana walikuwa wakionana wanashangiliana sana so mimi nilidhani tu kwamba wanajuana,kumbe wanamegana bwana. Sasa jana msichana ndio kaniambia kwamba jamaa yangu ndie anaekula tunda(nikashtuka sana),jioni nikaonana na mwana nikapiga nae story sana,nikamuanzia mbali hadi akaropoka kwamba anakula tunda pale,na ananiambia anakula dry bila zana(anakanyaga tope bila buti).

Sasa mi yule dada namjua ana ngoma live,nina uhakika na ninachosema japo yeye hajui kama mimi najua ana ngwengwe,ila mi najua na nina uhakika wa 100%(usiniulize nimejuaje ila we elewa hivo)

Sasa waungwana nipeni ushauri je nimwambie jamaa kwamba alipo sipo au nimuache aendelee kujifia? Kumbuka wote ni washikaji zangu sana.
NAKUOMBA SASA HIVI MFATE UKAMWAMBIE PLEASE, Unangoja nini sasa hebu muwahi pengine katika hizo siku chache labda Bado hajapata maambukizi, hilo sio jambo la kujishauri.
 
Wewe naisi hauko timamu...sasaa unasubria nini?au mpaka upatee ushauri JF?mwambia Araka sana rafiki yako?unajua utaanzaje kumwambia?
 
Ataanzaje, maana mtaani vilaza wengi, unaweza kumtonya akakwambia unamuonea wivu
 
Unaweza kumwambia jamaa na akadharau akajua unamuone wivu

Wewe mchukue jamaa mwambie akusindikize hospitali unaumwa then mkishafika kule ww vunga kisha umwambie doctor kasema nipime na damu kama vipi njoo mwana tupime wote unakomaa Mtoto wa kiume hana mizinguo atapima majibu yakitoka akiwa poa ndo unamwambia demu wake ana ngoma so aachane nae akibisha unamwambia akamchukue wakapime wote tena.

Utakuwa umemsaidia sana kuliko kumwambia demu ana ngoma alafu aje akute hana wala nini sema unamsingizia jamaa atakuhisi vibaya.
 
Muulize kama walishawahi kupima na huyo Dem,akisema hapana,mshauri wakapime na huyo binti,na kama bint akikataa Kuna uwezekano mkubwa kuwa anajua status yake,hivyo mshauri akapime mwenyewe baada ya majibu wether mazuri au mabaya ndio umwambie ukweli,coz kuwa na ukimwi sio mwisho wa maisha,watu wanaoa,wazaa,wanajenga na wanasomesha wakiwa kwenye hali hiyo,so Ni vile atakavyoamua yeye itakuwa
 
Jamani leo nina habari ya kuhuzunisha kidogo.

Nina msichana ambaye ninamheshimu kama dada yangu,ila pia nina mshikaji wangu ninayemuheshimu kama kaka yangu,kwa bahati mbaya hawa watu ni wapenzi ila sijajua walitongozana lini na wapi ila mi nilishangaa tu ni wapenzi na inaelekea mapenzi yao ni ya muda.

Maana walikuwa wakionana wanashangiliana sana so mimi nilidhani tu kwamba wanajuana,kumbe wanamegana bwana. Sasa jana msichana ndio kaniambia kwamba jamaa yangu ndie anaekula tunda(nikashtuka sana),jioni nikaonana na mwana nikapiga nae story sana,nikamuanzia mbali hadi akaropoka kwamba anakula tunda pale,na ananiambia anakula dry bila zana(anakanyaga tope bila buti).

Sasa mi yule dada namjua ana ngoma live,nina uhakika na ninachosema japo yeye hajui kama mimi najua ana ngwengwe,ila mi najua na nina uhakika wa 100%(usiniulize nimejuaje ila we elewa hivo)

Sasa waungwana nipeni ushauri je nimwambie jamaa kwamba alipo sipo au nimuache aendelee kujifia? Kumbuka wote ni washikaji zangu sana.
wee waajabu kweli...
kutembea nae hata mama yako mzazi unaweza tembea nae sio tatizo. mbona me natembea na watoto zangu wote siku nikiamua natembea nao wote pamoja na mama yao. hii sio tatizo. wewe hujaweka wazi labda useme wanato...mbana hapo utaeleweka.
nb: achakufatilia mambo ya watu haswa ya ndani kila mtu na maisha yake na wewe sio daktari useme ndio umegundua kuwa mmoja wao ni mgonjwa wa ukimwi au anavirusi. na kama ni daktari sheria na miiko ya taarifa za wagonjwa huwa haziwi publicity. huna uthibitisho zaidi ya udaku tu ulionao.
 
Back
Top Bottom