Mung Chris
JF-Expert Member
- Sep 12, 2017
- 3,474
- 4,007
ukisema elimu bure hayo matumizi mengine yanaanza kutumwa kuanzia mwisho wa mwezi huu au hukuelewa walimaanisha nini kuhusu elimu bure.USHAAMBIWA ELIMU BURE WENGE LA NINI.ACHA SERIKALI IFANYE KAZI YAKE.WEWE TULIA MKUU TUTAONA MWISHO WAKE.
AU NA WEWE NI MWALIMU UNAFAIDIKA NA MICHANGO?
Hayo Unayo sema yote wana yajua vzuri sna kuliko ww. Nia yao walim wasuse waseme bora liende ili watt wetu waendelee kupata Elimu mbovu na kuendelea kukua na kusoma kwenye mazingira ya dhiki uku watt wao wakisoma st maria fedha nk wazidi kututawala walichokifanya wanakijua vizuri sna binafsi hapo ndipo ninapo sema bwana Trump yupo sahihi khs sie watu weusi japo kauli zake zinakera ila yupo sahihi kbs jiulize mtt mh gani atapata adha hiyo...Shule za umma kukatazwa kuchangisha, je serikali itakuwa tayari kutoa matumizi mengineyo ya shule na chakula?
Michango ya wazazi ndio inayolipa bili ya maji na umeme, na pale ambapo maji ni ya shida katika kata kadhaa watoto hawawezi kuwa mapunda wa kuchota maji kwa ajili ya kudeki madarasa, vyoo na kumwagilizia maua.
Michango ya wazazi ndio inayomlipa mlinzi wa shule, mpishi na ndio inayochangia upatikanaji wa chakula ma shuleni.
Sasa je baada ya katazo hilo mabomba ya maji mashuleni yafungwe? Umeme usiwake kamwe? watoto wasome hadi saa 6 mchana mwisho ili waende wakale nyumbani? vyoo vya wanafunzi na waalimu visidekiwe? walinzi wasiwepo tena maana kitongoji kilishindwa kuwalipa.
Au serikali kuu iongeze pesa kwa ajili ya chakula na kulipa hela ya matumizi mengineyo kama umeme, maji...na itoe tamko kuwaruhusu watoto wa shule za msingi kutoka saa 6 mchana? au manispaa (serikali za mtaa) zikubali kuwajibika kwa hili.
Kuna haja ya ma afisa Elimu kukaa na waalimu wakuu kujadili yote haya na kuwasilisha serikali za mitaa au serikali kuu, bado mapema sana.
Bila maji kuna kipindupindu, bila mlinzi mashuleni wizi utashamiri, bila chakula mtoto hawezi kukaa shuleni hadi saa 10 alasiri, mazingira hayapendezi bila kuwagilizia maua
Haikukurupuka sema kwa hili ndipo ilipokurupuka. Hakuna hoja kuzuia wazazi au na jamii iliyojiwekea utaratibu wa watoto wao kupata chakula shuleni.Hii elimu bure serikali ilikurupuka tu pasipo kufanya utafiti wa kutosha kuhusu mahitaji yake
Mwenzio hajawaza ayoShule za umma kukatazwa kuchangisha, je serikali itakuwa tayari kutoa matumizi mengineyo ya shule na chakula?