Katazo la kuweka namba za 3D kwenye magari

Katazo la kuweka namba za 3D kwenye magari

lugoda12

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2018
Posts
311
Reaction score
646
Kumbe hili katazo kwa wamiliki wa magari kuweka namba za 3D sio tu hapa Tanzania, naona hata jirani zetu Kenya 🇰🇪 kumepigwa marufuku namba hizo!

97E83925-2AED-4023-A49E-ACF6A816D0B4.jpeg


Pia soma===>> Leo ndio mwisho wa matumizi ya 3D, msako kuanza kesho
 
KE wana issue kubwa za kusolve currently, number plate issue minor.
 
Tz walijitia wazimu kuzibandua 3D zikabanduka na rangi ikawa wameharibu vibaya
 
Back
Top Bottom