Akili Unazo! JF-Expert Member Joined Feb 18, 2009 Posts 3,930 Reaction score 4,939 Oct 18, 2018 #1 Jamani naulizi hivi hili katazo bdo lipo natarajia kwenda Mwanza kufuata samaki wa kitoweo, Nisaidieni kama hili katazo lipo
Jamani naulizi hivi hili katazo bdo lipo natarajia kwenda Mwanza kufuata samaki wa kitoweo, Nisaidieni kama hili katazo lipo
Mbao za Mawe JF-Expert Member Joined May 11, 2015 Posts 23,367 Reaction score 55,054 Oct 18, 2018 #2 Sidhani kama lipo bado. Wewe nenda chukua zako samaki panda nao kwenye basi.
wachanganya Member Joined Aug 22, 2017 Posts 89 Reaction score 94 Oct 18, 2018 #3 utapata shida sana mosi uwe na kibali kutoka kwa maafisa uvuvi pili wasiwe China ya centimeters 50 kwa upande wa sangara na kwa upande wa Sato au magege wasipungue centimeters 25 Tatu kwa matumizi ya kitoweo zisizidi 20kg na zanani umenisoma mkuu
utapata shida sana mosi uwe na kibali kutoka kwa maafisa uvuvi pili wasiwe China ya centimeters 50 kwa upande wa sangara na kwa upande wa Sato au magege wasipungue centimeters 25 Tatu kwa matumizi ya kitoweo zisizidi 20kg na zanani umenisoma mkuu
C christeve88 JF-Expert Member Joined Aug 11, 2018 Posts 3,341 Reaction score 5,493 Oct 18, 2018 #4 Sidhani kama lipo kama utafuta sheria sema wenye magari ndi huwa wanaogopa kupakia
Robot la Matope JF-Expert Member Joined Apr 10, 2015 Posts 8,591 Reaction score 17,561 Oct 18, 2018 #5 Waambie wanamwanza (Wasukuma) wakutumie samaki kwa Tigo Pesa