Katavi kwetu...na rasilimali zetu.

Kazakuku

JF-Expert Member
Joined
Jun 6, 2011
Posts
354
Reaction score
110
ndugu wana jf hi ndo Katavi,rasilimali nje nje,madini aina ya dhahabu,wanyama pori wa aina mbalimbali,njooni mjionee wenyewe..ni mengi na zaidi ya hayo....kalibuni wote.
 

Attachments

  • dj mwinyi logo.jpg
    20.5 KB · Views: 119
hapo umenena thus why wanaweka na kiwanda cha bia bana...hi ndo KATAVI..
 
Watu wa KATAVI:


http://4.bp.blogspot.com/-zXdtK5jVJLM/TtDLhdovAmI/AAAAAAAB5oA/3u4b

huo mtete ndo saafi kwetu KATAVI,una heshima yake bana si umeona hata wakubwa wenu wa nchi wanakunywa.
 
Naipenda katavi jamani,njooni mjionee
 
Watu wa KATAVI:
huyu mwenye hereni mwanamke au mwanaume ???? hii picha imenikumbusha KOMONI NA KIHAMBULE enzi zangu nipo mikoa ya nyanda za juu kusini , kihambule icho kinanywewa cha moto , asubuhi ukinywa chai stimu zanaamka
 
huyu mwenye hereni mwanamke au mwanaume ???? hii picha imenikumbusha KOMONI NA KIHAMBULE enzi zangu nipo mikoa ya yanda za juu kusini , kihambule icho kinanywewa cha moto , asubuhi ukinywa

Nimepapenda hapo penye yanda za juu,
 
 
Subiri wanaojuakuzitumia hizo rasilimali waje na mabwana zao huko, Mr Dhaifu akisikia tu kesho mnahamishwa wote na kupewa mahema kama wakimbizi kule Ngara. Unajitangazia kifo wewe na familia yako.
 
Subiri wanaojuakuzitumia hizo rasilimali waje na mabwana zao huko, Mr Dhaifu akisikia tu kesho mnahamishwa wote na kupewa mahema kama wakimbizi kule Ngara. Unajitangazia kifo wewe na familia yako.
.
Mkuu Mzalendo80 mbona tayari!! ... hujasikia kuna ardhi imeuzwa huko na kuna watu 162,000 wanatakiwa kuhamishwa ili kumpisha mwekezaji! ... hujasikia hiyo?!
.
 
Karibuni sana Katavi jamani.
Katavi Raha.....
 
Last edited by a moderator:



Lyamba lya Mfipa is the name which means Mountain of Fipa. Wafipa is a tribe of Katavi people. Lyamba lya Mfipa village in Hotel is a new famous and modern hotel in Mpanda town, it is located just 1.5 km from Mpanda town in Kasimba area, 0.5 from Airport and 0.5 from Mpanda train station.If you want to get to this hotel. The hotel is located on the main road from Mbeya, sumbawanga to Mpanda. This hotel gives nice accommodation, breakfast, lunch and dinner. Compared to other Hotels with the same quality, this hotel is very cheap and affordable. If you want to know more or make booking, click here or if you want to talk direct to the manager
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…