Jeshi wameenda kuchukua Yutong za kutosha nina hakika kwenye vitabu imeekwa bei ya scania.Mdogo mdogo watu wanarudi kwenye Scania,mchina gari zake
Washaona miyeyusho
Ova
Ankoli mama kawanunulia jewii Yutong, aibu tunaona ssJWTZ wameenda kuchukua Yutong za kutosha nina hakika kwenye vitabu imeekwa bei ya scania.
Una wakili?ππΏππΏππΏππΏππΏJWTZ wameenda kuchukua Yutong za kutosha nina hakika kwenye vitabu imeekwa bei ya scania.
Sasa hivi tochi nyingi halafu kumbuka hizi ni luxury coachHongera zake.
Ila zama hizi mabasi hayakimbii. Enzi zile unatoka Dar asubuhi unafika Mbeya mchana saa nane unakutana na ugali mezani licha ya barabara kuwa mbovu. Zile Scania zilikuwa balaa
Siku hizi hakuna kesi za mahakamani ni mwendo wa kutupwa msituni tu.Una wakili?ππΏππΏππΏππΏππΏ
Akili za wasukuma na wahaya utaziweza wenyewe faida yao ni kuona wapo tofauti kumbe ndio wanaharibu.Kwa heshima uliyonayo humu jamvini nimeshangaa unaleta Uzi bila picha.
Una wakili?ππΏππΏππΏππΏππΏJWTZ wameenda kuchukua Yutong za kutosha nina hakika kwenye vitabu imeekwa bei ya scania.
tulitoka Mwanza na katarama na mwenzangu kapanda yutong sisi tulifika Dar saa nne asubuhi, wazee wa Yutong wakafika saa kumi jioni, halafu nauli ni ileile we kuwahi tu booking!πππGari za mchina zinawahi sana kuchoka, namba unakuta DZ lakini bodi imetepeta na engine inaenda kama kondoo, tulitoka Mwanza na katarama na mwenzangu kapanda yutong sisi tulifika Dar saa nne asubuhi, wazee wa Yutong wakafika saa kumi jioni, halafu nauli ni ileile we kuwahi tu booking!
π πJeshi wameenda kuchukua Yutong za kutosha nina hakika kwenye vitabu imeekwa bei ya scania.