makongora makongors
Member
- Jan 2, 2014
- 94
- 18
Kamanda Edward Sijaona Mwinamila Jana alizindua kampeini zake kupitia chama chake cha NLD kwakishindo kutokana na hotuba yake Jana wananchi wamesema anatosha kuwa diwani wao badae nitawawekea hotuba ya kamanda huyu.