Mimi zimenifanya nishindwe kabisa kuuona utamu wa mbususu kwasababu ya uoga wangu maana nikitumia ndomu naona kama hakuna ninachokifanya ni heri kuacha tu na kubaki njia kuu nibaki kwenye mbususu ambayo nimeshaichokaSTDs ni kitu pekee kinanifanya nishindwe kusamehe mpenzi anae cheat.
Unaenda Hospitali.
Never say never..demu unayemwamini ndiye atayekupa gonorea.Kuna mgonjwa niliowai kwenda kumuona alikuwa mtu wa totoz ila alishafariki..Aisee!!! Uume umelika kama ufutio ana vidonda kibao akikojoa analia maumivu vidonda haviponi kuvaa nguo haweza anatakiwa apigwe na baridi ndo anapata afueni..
Ila ndo mkome.
Muhimu sana lakini usichoke kumchunguza njia kuu yako unaweza ukajitunza halafu yeye anagawa kwa hawa wahuni. Mimi natumia offense na defence strategies sitaki STDs.Mimi zimenifanya nishindwe kabisa kuuona utamu wa mbususu kwasababu ya uoga wangu maana nikitumia ndomu naona kama hakuna ninachokifanya ni heri kuacha tu na kubaki njia kuu nibaki kwenye mbususu ambayo nimeshaichoka
Kama ipiMuhimu sana lakini usichoke kumchunguza njia kuu yako unaweza ukajitunza halafu yeye anagawa kwa hawa wahuni. Mimi natumia offense na defence strategies sitaki STDs.
Duh!! Mtihani sanaNever say never..demu unayemwamini ndiye atayekupa gonorea.
#MaendeleoHayanaChama
Hapa ndipo kwenye tatizoNever say never..demu unayemwamini ndiye atayekupa gonorea.
#MaendeleoHayanaChama
Nimeacha u player, demu wangu namchunguza sana na siogopi kumuacha nikiona sign yoyote ambazo siyo. Pia muhimu kupima STDs kabla hujaanza mahusiano mapya. Afya ni kitu muhimu sana.
Kweli hiyo muhimu sasahivi mambo ni moto magonjwa mengiNimeacha u player, demu wangu namchunguza sana na siogopi kumuacha nikiona sign yoyote ambazo siyo. Pia muhimu kupima STDs kabla hujaanza mahusiano mapya. Afya ni kitu muhimu sana.
Mentality ya kijinga...unaweza kula moja hiyohiyo ikakupa ugonjwaSio kama mafua,yaan hata wao wanaamin ni magonjwa hatar,ila wanaamin kama hujawah kuyaugua ina maana wewe ni mwoga sana na mbususu hujazila vya kutosha
Noma gonjwa la aibu hasa ilo gono. Shida ya gono kwa mwanamke hali onekani kwa haraka, anaweza kaa nalo miaka na mika, unaona pisi kali safi hakuna shombo, piga mzigo asubuhi unaanza isoma namba, ngoma inavuja huwa ni chururu tu, usaha usahaa ni kero sana ule ugonjwa..Mzuka Wanajamvi!
Nadhani Ngoma Cha mtoto. Yani hii makitu ni hatariiii. Nimeshuhudia kwa mtu Yani akikojoa mkojo Kaa mlenda halafu haufiki chini unanata nata kwa kudunda hewani kwenda chini na juu.
Tujiepusheni na ngono zembe!
Kweli mmoja tu unadakaMentality ya kijinga...unaweza kula moja hiyohiyo ikakupa ugonjwa
Kwa mwanaume unawahi kuonekana?Noma gonjwa la aibu hasa ilo gono. Shida ya gono kwa mwanamke hali onekani kwa haraka, anaweza kaa nalo miaka na mika, unaona pisi kali safi hakuna shombo, piga mzigo asubuhi unaanza isoma namna, ngoma huwa ni chururu tu, usaha usahaa ni kero sana ule ugonjwa..
Huyo alikuwa mtata kupata matibabu, ukitia demu mwenye gono usiku, asubuhi utaelewa umeingia cha kike.. 🤠🤠🤠 Kama mwili wako upo sensitiveKuna mgonjwa niliowai kwenda kumuona alikuwa mtu wa totoz ila alishafariki..Aisee!!! Uume umelika kama ufutio ana vidonda kibao akikojoa analia maumivu vidonda haviponi kuvaa nguo haweza anatakiwa apigwe na baridi ndo anapata afueni..
Ila ndo mkome.
Shida ya hayo magonjwa, unaonekana mchafu katika upigaji wake, magonjwa ya aibu kabisa, ila ni kwamba hayaonekani kwa watoto wa kike haraka, unaweza kula pisi kali baraa ila kumbe tayari anayo.. Hata hospital utataka utibiwe kimagendo magendo kama una mwenza asijue taabu sanaKuna wakulungwa wanasema kama hujawah ugua hayo madude basi wewe sio mwamba