Lowasa alikaa kwenye uwaziri mkuu kwa muda gani? mbona leo bado ana ulinzi na marupurupu ya waziri mkuu?naombeni msaada wa majibu ya hilo swali..
Atakuwa waziri mkuu mstaafu,na atapewa stahiki zake.
Nini kimekupelekea ujiulize hilo!?
Mbona salim ahmed salim amumsemilowasa aache wizi hayo marupurupu hayastahili kwake kama ni mzalendo na sio mchumia tumbo.
yaleyale yakitajwa madudu yachadema mnajitetea kisa madudu hayo wamefanya CCM kama ndivyo mnasapoti sasa si bora CCM iendelee kutawala, jipambanueni kwa kuchukia ufisadi na sio kuwa miongoni mwa wahujumu, sivyo magogoni mtaiskia redioni.Mbona salim ahmed salim amumsemi
ni baada ya kusikia waziri mkuu mstaafu aliejiuzulu baada ya kufanya kazi miaka isiyozidi mitatu.. mpaka leo analipwa na kula posho kama waziri mkuu mstaafu