Kaspersky ant-virus

Jumaa Mkela

New Member
Joined
Nov 22, 2013
Posts
3
Reaction score
0
Naomba msaada kwa anaye faham jinsi kureactivate kaspersky anti-virus baada ya kubadili OPERATING SYSTEM(Window) maana nimefanya kila ninachokijua ila imegoma na kabla ya hapo nilikuwa naitumia pasi na tatizo lolote na imebakiwa na siku 238 hadi kuisha muda wake wa kutumika.
 

sina uzoefu hapo ila nakushauri utumie file linaitwa Windows OLD humo utakuta old kas yako utafanya maneuver kuifanyia reinstallation
 
weka Avast 2015 10 yrs activation....
 

Unistall then install upya.
 
unatakiwa kuwa na keys ukiingiza tena hazita goma ila kama huna hapo ndio shida itabidi u hack tu! Ingawa ukiingia online watakudaka.
 
Weka key tu itaendelea kufanya kazi, license hubakia ndani ya OS ila kama ume format hakuna kitakachobakia
 
kama una licence ya awali tumia na iweke tena. tatizo n kama umeshaitupa, kama umeitupa sema naweza kukuunganisha na sales Kaspersky watakisaidia
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…