Uncle Jei Jei
JF-Expert Member
- Jan 7, 2011
- 1,683
- 2,158
Hapo kasoro anaziona anaetongozwa je ameridhia kuwa na mtongozaji au la
hilo laweza kuwa neno ila wachache sana naowatongoza nikakuta wako single sasa sijui wengine inakuwa defence tu! Kwani nikiambiwa "nina mtu tayari" nakosa gear ya kurudi tena
Kwa muda mrefu nimekuwa nikitafuta mschana ambaye ni "wife material" ili nianzishe familia yangu. Sikupenda na hadi sasa bado nastruggle ili nifkishe miaka 30 nikiwa na mwenza. kifupi ni kuwa nikiwa chuo nilimaliza bila mchumba. Niko kazin kwa mwaka sasa, lakin kila mschana anayenivutia nakuta anamtu tayari na wengine hutamani endapo tungefahamiana kabla... wanaoning'ang'ania hawanivutii Kabisa! Hadi nimeshawshka kutafta hum Jf nikutane na ambao hawajapata, nashangaa hawajitokez! TATIZO NI NNI!?
Mi niko cngle
Na mimi niko single alafu nina PIPE ya ukweli na ina joto balaa! naamini utaipenda.haya ni pm haraka pls!
Mkuu hao wanaoukung'ang'ania ndio wake zako ila unaowang'ang'ania hao sio wako.unaowataka wewe watakutia pressure mpaka ufe.
Mi niko cngle
hilo laweza kuwa neno ila wachache sana naowatongoza nikakuta wako single sasa sijui wengine inakuwa defence tu! Kwani nikiambiwa "nina mtu tayari" nakosa gear ya kurudi tena
Kwa muda mrefu nimekuwa nikitafuta mschana ambaye ni "wife material" ili nianzishe familia yangu. Sikupenda na hadi sasa bado nastruggle ili nifkishe miaka 30 nikiwa na mwenza. kifupi ni kuwa nikiwa chuo nilimaliza bila mchumba. Niko kazin kwa mwaka sasa, lakin kila mschana anayenivutia nakuta anamtu tayari na wengine hutamani endapo tungefahamiana kabla... wanaoning'ang'ania hawanivutii Kabisa! Hadi nimeshawshka kutafta hum Jf nikutane na ambao hawajapata, nashangaa hawajitokez! TATIZO NI NNI!?
kabla sijakupa ushauri nataka nijue unatongozaje
A;Eleza namna unavyotongoza
B;assume ni mimi unanitongoza nione wapi tatizo lilipo
hapa hapa usije pm
What do you mean by "HAWAVUTII".
Also "ANAYENIVUTIA".Anayevutia kivipi?