The Evil Genius
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 6,151
- 20,065
Jamani naomba kujua,kasongo seveni ndio nini? Maana nasikia vijana wa hapa mtaani kwetu wanaiongelea ongelea hasa kwenye mambo ya mapenzi ila sijawahi kujua maana yake ni nini na inaongeza nini kwenye mapenzi.
Naombwa mwenye kujua kuhusu kasongo seveni na matumizi yake anisaidie kunielewesha.
Mchezaji wa zamani wa Mani yuu, sasa yuko real madrid. Kwa kiingereza anaitwa ''Ronaldo'' kwa kibongo bongo anaitwa ''Kasongo''. Anavaa jezi namba 7 na anajiita CR 7 (C.Ronaldo Seven) kwa kiswahili atakua Kasongo Seveni
Anahusikaje na Mapenzi huyu kasongo seveni? Huyu jamaa anapenda sana totoz ndo maana unaona wanaitumia huko.
Umeelewa sasa?
cc wazee wa mani yuu... Mr Rocky, utafiti, Excel etc
Aiseeee! RONALDO CHRISTIAN NDIO KWA KISWAHILI ANAITWA KASONGO?!

Yani akijuaaa mwenyewe!!
Kasongo ninavyoijua mimi ni dawa ya kienyeji ya kuongeza uume unakuwa mnene na mrefu pia inakufanya uchelewe kupiz ukimkamata mwanamke mpaka anaomba poo na kama alikuwa na michepuo basi lazima atakuomba msamaha
Dawa ya mapenzi,inapatikana d.r.c na kwa tz ni kigoma.
Aiseeee! RONALDO CHRISTIAN NDIO KWA KISWAHILI ANAITWA KASONGO?!
Mchezaji wa zamani wa Mani yuu, sasa yuko real madrid. Kwa kiingereza anaitwa ''Ronaldo'' kwa kibongo bongo anaitwa ''Kasongo''. Anavaa jezi namba 7 na anajiita CR 7 (C.Ronaldo Seven) kwa kiswahili atakua Kasongo Seveni
Anahusikaje na Mapenzi huyu kasongo seveni? Huyu jamaa anapenda sana totoz ndo maana unaona wanaitumia huko.
Umeelewa sasa?
cc wazee wa mani yuu... Mr Rocky, utafiti, Excel etc
Kama hujui manake unawezaje kuita fix au kwa kujitia wewe ni kijana?Nyie wazee muda mwingine mpunguze fix,tupeni elimu sisi vijana vingine hatuvijui.
Nyie wazee muda mwingine mpunguze fix,tupeni elimu sisi vijana vingine hatuvijui.