Kasinde on holiday

Kasie

Platinum Member
Joined
Dec 29, 2013
Posts
22,801
Reaction score
43,177
Hello MMU.

Wakati umewadia, kibubu kimejaa na kusheheni mapene bila kuwekewa wala kusaidiwa fullu jasho langu.

Hapa niko on the way to vacation nikifika ntawajuza habari za huko. This time sea shell hahahaa, asante mola kwa kunipatia riziki hii nakula ujana. Likizo time ndo hiyo niwatakie MMU wote Happy Festive Season mie ndo hivo nshaanza kuinjoikuserebuka hure.

Halafu kuna tabia inanikera, kuna watu mnawasiliana vizuri hata mnatoka nje ya JF halafu mtu huyohuyo anakuja na ID ingine anaanza kukuongelesha kimitego. We unayefanya hivo to me u r immature na huwa nawagundua mapema nawakimbiza tuu.

Usiku mwema.
Kasie.
 
Hapana shaka, akitokea msea shell akajichanganya tunapiga mechi kama kawa ya Kasie. Simulizi kwa sana, kaeni mkao wa kusimuliwa.
ukipata shemeji yetu mwingine huko ushelisheli akakuenjoisha kama yule wa US usisite kuleta feedback kwa ndugu zako wa jf... enjoy your holidays sweetheart!
 
Ni muhimu ili kujua kama ni cheche

Kwangu ukifanya hivo unakosa mwana na maji ya moto. Maanamie tabia zangu zangu sizifichi sasa kunakuana na ID mpya mpya mi nakuona hujiamin na immature
 
Sea shell ila ntatua mahali flani (Abu Dhabi) kwanza kwa siku7 kisha niende sea shells. Karibu twende life is to live, lets enjoy and have fun.

mmmh Kasinde unaweza nilipa kwa vyote ntakavyokuoffer kweli
 
Last edited by a moderator:
Kwenda kustarehe sea shells mie najigharamia niko fullu masnondo. Hivo ukinigharamikia itakuwa ni sehemu ya starehe kwako.
Kwani ulikuwa unataka malipo gani kwa mfano...
mmmh Kasinde unaweza nilipa kwa vyote ntakavyokuoffer kweli
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…