Hi.....!!!
My dada(mama) ajuza Kasinde ..rizik utumie na wanao,
Kasinde umenipeleka mbali sana kunikumbushia dada nimpendaye sana kimziki - stara thomas.AsanteHeeiiyoooo,
Bure mtameza sumu mfe huku mnaona. .. .. huku mnaona. Alopewa muheshimu riziki yake ni pana ooohooo kuipora kwake ni vigumuu. ... mtahangaika sanaa.
Riziki kule iliko Mungu pekee ndo anajua, utaimaliza vituko hauwezi kamwe kuichukua. ......................... mtahangaika sanaa.
Malizia na wewe.........
Kasinde umenipeleka mbali sana kunikumbushia dada nimpendaye sana kimziki - stara thomas.Asante
https://www.youtube.com/watch?v=JpymAep65JU
Ile avatar ya kwanza ilikuwa inawakilisha nilipokuwa mschana kigoli enzi hizo nadai. Na hi avatar ya sasa inaonesha uhalisia wa jinsi Kasie alivo kwa sasa.Exactly Kasinde. Am frolicking in the fun you started. Halafu Kasinde, kwa
nini umebadili avatar kutoka ile nzuri ya 'thoughtfulness' na kuweka hii ya dadake
Kingunge?