Naantombe Mushi
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 6,253
- 15,748
Hii ni lugha ya mgongano sana.. K'Matata...!!!!K’ Matata.... Choomboo Choomboo Choomboo Cheusi Mangalaa....
Kasie kuna mtu alikuja na tuhuma za kumdhulumu, ulimpeleka mpk kwenu
Sent using Jamii Forums mobile app
ha ha ha sawaHahahahhahahahaaa unaona eeehh
Raha jipe mwenyeweeee aka selfie....
Ukijikubali utakubalika tuuu ....
Choomboo Choomboo Cheusi Mangala ....
Hahahahahaa umenikumbusha aiseeh
Kuna K Band muda si mrefu itaanza kutoa huduma za mziki kwenye kumbi mbalimbali. Andaeni makanyagio tuu maana K Band ni zaidi ya Matata hehehehheee
Kasie Band......
Choomboo Choomboo Kasie Cheusi Mangala ..... kigagula Choomboo Choomboo.....
Ukiona hujatikisa kichwa au miguu kwenye bongo fleva yeyote basi wewe umri umekutupa mkono zaidi ya Kasie, vumilia tuu kero za kigagula Kasie Matata hehehheeee.
Ila nasikiaga kuna ma team sijui team nini na nini.....
Sonata team mimi zaidi ya Mahaba, wenyewe team zenu sukutueni maji ya chumvi tuu.
Choomboo Choomboo....
Nakualika nyumbani leo usiku uje na zeze huku ukiniimbia wimbo huu huu ili nijilalie vizuri. Una-charge kiasi gani kuni imbia in private?
Jumapili hapana, sema siku ingine.
Kuhusu gharama ntakuletea bili, kama uko peke yako bei itakuwa mara tatu yake kama mko wawili na kuendelea bei ya kawaida tuu.
Shhhhhh, usiongea kwa sauti kubwa sitaki mumeo asikie. Ni hivi, nitakuwa peke yangu na kuhusu gharamu usihofu sana tutajadiliana tu. Jumatatu usiku wa saa 4 inawezekana?