Chombo.... Kasie Chombo....
Cheusi Mangala ....Kasie....
.... tukale sangara..... Mwanza....
Nywele chotara ..... Kasie .... heheheh ooh laalaaah raaahaaaa
Bibi kaupara..... Choomboo.... Kasiiiiiey......
Chomboo..... Chomboo Kasie Choomboo..... amepitwa na fashion (Kasie)
Choomboo choomboo Kasie choomboo ana ngozi ya mamba ... weeweeee hehehehee mikwaruzo kibaaooo
Ghetto paapaaraa...... hahahahahhaahaaa
Choomboo Choomboo Kasie Choomboo ........ ana maringo mengii...
Choomboo Choomboo bibi K Choomboo na mikoogoo ya Kinyamwezi....
Machooo maachooo hayoooo figo mkalia nyongo (maini hayazeeki hehehehhe)
Nachekechaa chekechaaa, ulimbo ulimbooomboo....
Wacha ninogeshe sangara na kamongooo
Choomboo Choomboo Kasie Matata..... Choomboo Choomboo....
Sakata Rhumbaa biibii.......
Meli ishatoa nanga honi ya safari kuanza ishalia........yeeeyooooo.... Choomboo Kasie.
Matata ya K Chomboo 2019.