Kasi ya Serikali inavyorejesha matumaini kwa wananchi

singidadodoma

JF-Expert Member
Nov 11, 2013
4,394
1,536
HAIKUWA jambo la kawaida katika miaka ya karibuni kuona wananchi wanajipanga barabarani kumlaki kiongozi, kwa hiari yao tena wakati mwingine majira ya jioni au mapema alfajiri. Tena ilikuwa vigumu kuona wananchi katika baadhi ya mikoa ambayo inaaminika kuwa ni ngome ya vyama vya upinzani nchini Tanzania wakijitokeza kusikiliza kiongozi kutoka Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa kuwa hawakuwa na imani kuwa wanaweza kuleta mabadiliko ya kweli.

Hata hivyo hivi sasa hali imebadilika baada ya Waziri Mkuu kupata mapokezi makubwa katika mikoa ya Mwanza, Simiyu, Kagera na Geita ambapo wananchi wamejipanga barabarani kwa bashasha na nderemo kubwa kumlaki. Bila kujali kuwa ilishafika wakati wa magharibi, mamia ya wananchi wa Mwanza walijipanga kwa wingi katika barabara ya kutoka Uwanja wa Ndege kwenda mjini kumlaki Waziri Mkuu Kassim Majaliwa.

Hiyo ilikuwa jioni ya Machi mosi, mwaka huu, wakati Waziri Mkuu alipotua Mwanza akiwa njiani kwenda Simiyu ambako siku iliyofuata alianza ziara ya takribani wiki mbili katika mkoa huo na Kagera na Geita. Wananchi wa kada zote walijazana kwenye uwanja huo wa ndege wa Mwanza, lakini pia walijipanga mistari kwenye barabara kuu ya kuingia katika Jiji la Miamba wakiwa na bashasha na kushangilia mara Waziri Mkuu alipopita katika eneo walilokuwa wamejipanga.

Hali hiyo, kwa mujibu wa wenyeji wa jiji hilo ambalo kwa miaka takribani mitano lilikuwa chini ya himaya ya vyama vya upinzani, ilikuwa haijazoeleka kwa wakazi wa jiji hilo. Asubuhi ya Machi 2, wakati Waziri Mkuu na msafara wake wakienda Busega mkoani Simiyu mitaa ya Mwanza kwa mara nyingine ilifurika watu barabarani wakimlaki na kumpa mkono Majaliwa.

Kuanzia katikati ya mji hadi nje ya Jiji katika Barabara ya Musoma watu walijitokeza kwa wingi katika maeneo ya Mabatini, Igoma, Nyakato na mengineyo yalikuwa yamefurika watu wa kada zote asubuhi hiyo ya majira ya saa mbili wakiwa na hamu ya kumwona Waziri Mkuu. “Kwa kweli hali hii haijawahi kutokea hapa Mwanza kwa miaka mingi. Yaani watu wanajipanga barabarani, tena asubuhi kumlaki kiongozi kama hivi, sijawahi kuona katika miaka ya karibuni,” anasema mmoja wa madereva waliokuwa katika msafara wa Waziri Mkuu akitokea Sekretarieti ya Mkoa huo.

Anaendelea kusema “tena kwa Mwanza ambayo kwa miaka mingi ilikuwa chini ya upinzani ni jambo ambalo sikulitegemea kwa kweli. Hali hii ni ishara kwamba wananchi wa hapa wameikubali serikali hii.” Kujitokeza kwa wingi kwa wakazi hao wa Mwanza kumlaki Waziri Mkuu Majaliwa kulimgusa hata Waziri Mkuu mwenyewe kwani alipofika Busega kuanza ziara yake licha ya kuwashukuru wananchi hao wa Busega kwa mapokezi makubwa, lakini aliwashukuru wale wa Mwanza kwa kujitokeza barabarani alipopita.

“Kwa kweli mmenipa mapokezi makubwa sana, nimefarijika mno kwa mapokezi yenu. Hata njiani nilipopita kuja hapa kutoka Mwanza nimeona watu wengi wamejitokeza kunilaki. Na hapa Lamadi mmetia fora sana,” anasema Waziri Mkuu Majaliwa. Lakini kujitokeza kwa wingi kwa wakazi wa Mwanza ambako hakuwa na ziara zaidi ya kupita akiwa njiani kwenda mikoa hiyo mingine kwa ziara kumpokea Waziri Mkuu kulikuwa na uthibitisho au ishara ya wananchi kukubali kazi zilizoanza kufanywa na Serikali ya Awamu ya Tano chini ya Rais John Magufuli.

Na hilo lilithibitika katika ziara hiyo ya mikoa ya Simiyu, Kagera na Geita ambako kote alikopita Waziri Mkuu alipata mapokezi makubwa kutoka kwa wenyeji. Wananchi waliojitokeza walieleza kero zao ili asaidie kupata majawabu , lakini pia walio wengi walikuwa na hamu ya kumpa salamu zao za pongezi kutokana na jinsi Serikali ya Awamu ya Tano inavyoshughulikia matatizo ya wananchi kote nchini.

Hakuna mwananchi wa kawaida au kiongozi aliyepata fursa ya kuzungumza ambaye hakugusia suala la pongezi kwa jinsi serikali ya Dk Magufuli ilivyoanza kwa kasi hasa katika kile kinachoitwa utumbuaji wa majipu. Viongozi wa dini pia wameonesha kuguswa na kasi ya serikali ya kutumbua majibu ili kuwajibisha watendaji wa serikali. “Kwa kweli serikali hii imerejesha matumaini makubwa kwa wananchi.

Wananchi wanafurahia sana utendaji huu, ndio maana unaona wanafuatilia kwa karibu ziara ya Waziri Mkuu,” anaeleza mkazi wa Bukoba Mjini, Specioza Lukamba wakati akiwa katika mkutano kwenye Uwanja wa Mashujaa mjini humo. Mkazi wa Chato mkoani Geita, Fortunatus John anaeleza kuwa wananchi wanaridhishwa na kasi ya serikali na ndio maana wamekuwa wakijitokeza kwa wingi kueleza kero zao kwa sababu serikali inazifanyia kazi.

“Sasa wananchi wana imani kuwa wakitoa kero zao zinafanyiwa kazi mara moja, kwa hiyo ndio maana unaona wanajitokeza kwa wingi katika mikutano na wanatoa kero zao kwa Waziri Mkuu,” anasema John. Siyo katika mikutano rasmi tu ambako Waziri Mkuu amekutana na wananchi wenye shauku ya kumwona na kumpa kero zao, lakini mara nyingi amesimamishwa njiani na wananchi ili wampe kero zao.

Maeneo mawili yalitia fora kwa hilo; Nyakahura wilayani Biharamulo katika mkoa wa Kagera na Rwakalemera wilayani Ngara pia katika mkoa huo. Katika sehemu hizo, wananchi walisimama barabarani na kuzuia msafara wa Waziri Mkuu huku wakiwa na mabango yenye kuelezea kero zao mbalimbali. Kwa mfano, kwa Nyakahura tatizo kubwa lilikuwa ni maji na malisho kwa mifugo , wakati kero za Rwakalemera ni ardhi, ushuru na mapato ya kijiji.

Suala la Rwakalemera lilionekana kuwa zito na Waziri Mkuu akaagiza kuwaita tena wananchi hao kuwa wamsubiri siku ya pili akirudi atazungumza nao akiwa na watendaji wa kijiji, kata na wilaya. Alifanya hivyo mapema siku ya pili na hapo, alifanya uamuzi wa kutwaa ardhi zaidi ya ekari 7,000 iliyokuwa ikihodhiwa na baadhi ya watu bila kuendelezwa huku wananchi wakilalamikia kukosa ardhi kwa kilimo na mifugo.

Mikutano hiyo ya Waziri Mkuu imewapa matumaini makubwa wananchi kwa jinsi alivyoshughulikia kero zao, wakati mwingine akifanya maamuzi ya papo hapo kama ilivyokuwa kwa wanakijiji hao wa Rwakalemera.

Waziri Mkuu amekuwa akisisitiza kuwa Serikali ya Awamu ya Tano haitasita kufanya maamuzi ya papo hapo kwa manufaa ya wananchi. Jambo hili limeijengea imani kubwa serikali kwa wananchi wake na ni moja ya sifa ambazo zimeifanya ikubalike kwa kipindi kifupi kwa wananchi wake tangu iingie madarakani Novemba 5, mwaka jana.
 
mavi ya kuku
 
Labda Leo nitajibiwa swali langu, hivi kasi ya Magufuli ni IPI hasa?
 
Hauwezi kuijua wala kuiona kama kichwa chako kimejaa negativity, ina bidi kwanza ujifree kutoka kwenye minyororo uwe binadamu huru mwenye mawazo yake huru ndiyo utaweza kuiona kasi ya Raisi Magufuli ambayo siyo sisi tu bali nzima inaiona na inaishuhudia!
Kama Mbowe anakufanyia na kukupangia kila kitu kila kitu, hauwezi kuona chochote nje ya kile Mbowe anachokwambia, hivyo ukitaka uone jinsi Dunia inavyokwenda nje ya kile Mbowe anachokulisha basi inabidi ujinisuru kwanza ktk kwenye utumwa ulioshiokwa na Mbowe!
 
Kasi ya Magufuli ni IPI? Nisaidie jibu acha porojo....
 
Siwezi kukusadia, hilo unaweza kujisadia mwenyewe kwanza, na anza leo kujifungua minyororo!
Hivi kwanini kila anayeulizwa kuhusu kasi ya Magufuli hawezi toa jibu? Nimekuuliza hiyo kasi ni IPI? Toa na mifano hai?

Mi sina minyororo yoyote.
 
Una minyororo na ndiyo maana umepoteza uhalisia wa kinachoendelea Duniani, haufahamu chochote nje ya kile Mbowe anachokwambia, Mbowe akisema ruka unaruka, simama unasimama, kimbia unakimbia, tembea unatembea, ndiyo maana unashindwa kuona kile ambacho Dunia yote huru inaweza kuona yaani kasi ya Magufuli!
 
Mimi si mfuasi wa Mbowe wala hanijui... Then hii si thread ya Mbowe anzisha inayomhusu ukitaka......

Naomba unisaidie kunionesha kwa mifano kasi ya Magufuli ni IPI?
 
Hawawezi kukujibu sababu hawana jibu lenye uhalisia linalogusa maisha yetu huku uswahilini, sanasana wata mtumbukiza Mbowe na Lowasa kupotezea hoja ya msingi.
 
Back
Top Bottom