GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 63,710
- 128,215
Si hata gesi ya chumbani inatumika kama specimen au sampo kisha kuna utaratibu wa awali wao wanafuataKweli wewe ni mwana art sio mwanasayansi yaan huyo Dr wa timu alifanya experiment kwa vifaa gani au anatembea navyo?upo vizur kwenye kutia chumvi
Kweli wewe ni mwana art sio mwanasayansi yaan huyo Dr wa timu alifanya experiment kwa vifaa gani au anatembea navyo?upo vizur kwenye kutia chumvi
Kwa hiyo physician wa Zanaco anatembea na toxic gas detector?na hiyo sio mpya team zetu zinalalamika Caf miaka yote wakienda Kwa waarabu kuhusu hilo la vyumba kuwa na gas na hata vyakula kuwa na sumu na sijawahi kusikia hatua yeyote unless mgeni kwenye football fitna ndio utaona hii mpya
Shule ulizosoma zilikuwa na Maabara Mkuu? Na je unajua principles za kufanya Experiment hasa za Chemicals ili kuweza kujua reaction zake? Nyie si mlidhani Zanaco FC ndiyo Coastal Union, Stand United, Ruvu Shooting, Prisons FC na hawa wa juzi juzi Kiluvya ambao mliwawekea mno hiyo Dawa yenu ya Kikemikali ili kuwadhoofisha na kuwafunga goli za dazani? Haya sasa yamewakuta wenzenu Zanaco FC na wao ni Wajanja vile vile wameshakumbana na michezo hiyo siku nyingi tu. Mtakoma!
Bila shaka wewe utakuwa mwl wa sanaa kwanini uunde maneno ya uchochezi mesahau kesi ya yule bwana muota ndoto?Akizungumza kwa masikitiko makubwa Mwenyekiti wa Klabu ya Zanaco FC ya nchini Zambia Bwana Edward Materu amesema kuwa wanafikiria kuishtaki Klabu ya Yanga CAF na FIFA kwa kitendo chake ambacho amekiita ni cha Kimauaji kabisa cha kuwapulizia dawa ( Watu wa mpira tunaiita 4-4-2 ) katika Chumba cha kubadilishia Nguo cha Timu yake.
Bwana Edward Materu akaenda mbele na kusema kuwa walipoingia tu katika hicho Chumba wakakuta hewa ni nzito sana kiasi kwamba baadhi yao walipiga Chafya nyingi ndipo wakaamua kumuita Daktari wao ambapo alifanya experiment yake ya Kitaalam kabisa na akagundua kuwa kila Chumba kilikuwa kina Kemikali ya kuwadhoofisha Wachezaji hali iliyowafanya wawalazimishe Wachezaji wao wa Zanaco FC waende kuvalia ndani ya Basi lao.
Ikumbukwe hii ni mara ya nne ( 4 ) Klabu ya Yanga inalaumiwa na Wapinzani wao kwa kuwafanyia hiki Kitendo Vyumbani na kama haitoshi hata Klabu kadhaa za Ligi Kuu hapa Tanzania VPL na zenyewe zimekuwa zikilalamika sana hii tabia ya Yanga ila hakuna kinachofanyika kutoka kwa wenye Mamlaka na Soka.
Inasemekana kuwa mechi nyingi ambazo Yanga imekuwa ikishinda magoli mengi sababu kubwa ni matumizi ya hii dawa ya Kemikali ambayo hupenda kuipulizia katika Vyumba vya Wachezaji wa Timu pinzani ili kuwadhoofisha Wachezaji wao.
Kwa wale mtakaotaka mzigo kamili wa huyo Mwenyekiti wa Klabu ya Zanaco FC sikilizeni au angalieni marudio leo Saa 9 alasiri ya Kipindi cha Sports Bar cha Clouds tv ambapo Bwana Edward Materu alitema cheche zote alipokuwa akihojiwa na Mtangazaji wa Michezo wa Clouds tv Jacob Mbuya.
Yanga FC badilikeni kwani mnatutia aibu mno Watanzania na endapo hawa Zanaco FC wakiamua kwenda huko CAF na FIFA basi mtakuwa hatarini kufurumushwa kabisa Mashindanoni kwa bahati nzuri kwa mujibu wa huyo Mwenyeiti Edward Materu amesema kuwa ushahidi wote Daktari wao anao na tayari wameshaanza taratibu za awali za kuashitaki Yanga.
Nawasilisha.
Yanga ni timu ya ccm..CCM na Simba tunajua harakati zenu za kuidhoofisha timu ya Yanga. Endeleeni tu ila tuna mpango wa kubadili rangi ya Jezi zetu
Hahahahahaaaaaaa...yupo vizuri kwenye kutia chumvi? Mkuu umenifurahisha sanaKweli wewe ni mwana art sio mwanasayansi yaan huyo Dr wa timu alifanya experiment kwa vifaa gani au anatembea navyo?upo vizur kwenye kutia chumvi
Msome vizuri anasema Dr alifanya experiment hapo hapoSi hata gesi ya chumbani inatumika kama specimen au sampo kisha kuna utaratibu wa awali wao wanafuata
Jana malaya mwenzio amekunyima papuchu unaleta unafik na porojo ili tukuliwaze shwain wwAkizungumza kwa masikitiko makubwa Mwenyekiti wa Klabu ya Zanaco FC ya nchini Zambia Bwana Edward Materu amesema kuwa wanafikiria kuishtaki Klabu ya Yanga CAF na FIFA kwa kitendo chake ambacho amekiita ni cha Kimauaji kabisa cha kuwapulizia dawa ( Watu wa mpira tunaiita 4-4-2 ) katika Chumba cha kubadilishia Nguo cha Timu yake.