Kashfa nzito Jeshi la Polisi

Status
Not open for further replies.
Hilo la Yemen ni la hukohuko labda na Interpol,hilo oyster bay linachunguzika hapahapa,lkn sidhani kama ni sahihi kukimbilia huku JF

Si umwambie sasa sehemu sahihi ya kukimbilia..wewe umewezaje kuweka shida zako humu yeye asiweze
 
Kuna shirika linaloitwa International Organization for Migration? Never heard it before!

NInachofahamu mimi kuna shirika linaloitwa United Nations High Commissioner for Refugees (UNHCR).

I stand to corrected.
Hilo shirika lipo linahusika na masula ya resettlement. Mi nafanya kazi ktka makambi ya wakimbizi na project ya kuwasafirisha wakimbizi kwenda nchi kama marekan, canada, Australia n. k zinasimamiwa na IOM
 
Yule mwarabu wa arusha aliyekuwa na kesi kama hii nakumbuka alienda ndani keko mashtaka yalikuwa human traffic.
 
Kuna shirika linaloitwa International Organization for Migration? Never heard it before!

NInachofahamu mimi kuna shirika linaloitwa United Nations High Commissioner for Refugees (UNHCR).

I stand to corrected.
NA hii ndio nembo ya hilo shirika
 
MKATABA NI MAKUBALIANO KATI YA PANDE HUSIKA INAWEZA KUWA KWA MDOMO YAANI ANA KWA ANA MKAZUMGUMZA MKAKUBALIANA .AU KWA KUMTUMA MWAKILISHI AU KWA MAANDISHI MAKUBALIANO YOTE HAYO NI AINA ZA MIKATABA
Mkuu sio kwa mikataba ya kibiashara!! Hiyo verbal contracts kwenye biashara hakuna, labda umeisoma tu chuoni, kwenye real deals hakuna kitu Kama hicho!!
Sasa huyo hata huko mahakamani atasimama kwa evidence zipi??? Ndio maana hata hao polisi wanampotezea tu!!! Anataka kulipwa mil 250 kwa grounds zipi???
 
NA hii ndio nembo ya hilo shirikaView attachment 446176
Aha sasa napata picha, nilisikia maalim seif ana kitabu cha kusafiria kutoka international organisation.
Hilo shirika lipo linahusika na masula ya resettlement. Mi nafanya kazi ktka makambi ya wakimbizi na project ya kuwasafirisha wakimbizi kwenda nchi kama marekan, canada, Australia n. k zinasimamiwa na IOM

Toka dunia ianze, Matokeo ya mdomo kuzidi kasi uwezo wa ubongo hayajawahi kuwa mazuri.
 
Kuna shirika linaloitwa International Organization for Migration? Never heard it before!

NInachofahamu mimi kuna shirika linaloitwa United Nations High Commissioner for Refugees (UNHCR).

I stand to corrected.
Hujawahi kwenda hata Lusaka utalijulia wapi?
 
Kuna shirika linaloitwa International Organization for Migration? Never heard it before!

NInachofahamu mimi kuna shirika linaloitwa United Nations High Commissioner for Refugees (UNHCR).

I stand to corrected.
IOM inadili na kazi ya kurudisha wakimbiz makwao kasulu, kibondo na kigoma ndo base zao
 
Badala ya jeshi letu la polis kupambana na matukio kama haya na takukuru kuyafuatilia kwa undani wanabaki na kuhangaika na jf na max melo
 
Haya weka details zako
Hso jamaa ni baba zake makondakta hawaguswi hso

hawaguswi I don't know kama hawaguswi, you know labda hawaguswi na huyo Makonda, polisi, lakini huko nyuma owner wao alimwagiwa usoni chupa ya fluoranium hexafluorostibanuide. Akaondoka kwa ambulance ya ndege ya kukodi, hajarudi tena TZ na mali zake kaziacha, sijui kama yuko salama huko aliko au alishatangulia.
 
Kwa thread kama hizi sioni shida JF kufungiwa maana mtu anakuja na story ya upande mmoja na watanzania tulivo vigwaza tunafanya conclusion na kuchochea character assisination
 
Kuna shirika linaloitwa International Organization for Migration? Never heard it before!

NInachofahamu mimi kuna shirika linaloitwa United Nations High Commissioner for Refugees (UNHCR).

I stand to corrected.
Google acha uvivu!!! Unauliza kwani hauna bundle?
 
Kwa thread kama hizi sioni shida JF kufungiwa maana mtu anakuja na story ya upande mmoja na watanzania tulivo vigwaza tunafanya conclusion na kuchochea character assisination
Kuna kitu ukiambiwa huna haja ya kusikiliza upande wa pili! Hapa ni sawa na kwa wakristo kaambiwa Yesu ni mwana wa Mungu huna haja ya kuhangaika kumtafuta mungu kumuuliza ni kweli ni mwanao? Yaani unaamini kutokana na maelezo na watu waliohusika
 
Kwa thread kama hizi sioni shida JF kufungiwa maana mtu anakuja na story ya upande mmoja na watanzania tulivo vigwaza tunafanya conclusion na kuchochea character assisination
Si mumlipe fundi yaishe
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…