comrade igwe
JF-Expert Member
- Jan 12, 2015
- 7,295
- 3,952
Unacho chanzo kingine cha habari hii? Au kwa kuwa mnafanya kikao Ikulu ndiyo akili zimewaruka!!Hiko chanzo chako cha habari nimepoteza imani nacho.
Unaangalia chanzo au content?? Kama wahusika wamepiogiwa simu na wamekiri kufahamu suala hilo wewe unakosaje imani?Hiko chanzo chako cha habari nimepoteza imani nacho.
Kuhusu shirika "International Organization for Migration" lipo, ofisi moja iko Masaki pale jirani na Double Tree Hotel....... hayo mengine unaweza kuchangia utakavyo mi simo.Kuna shirika linaloitwa International Organization for Migration? Never heard it before!
NInachofahamu mimi kuna shirika linaloitwa United Nations High Commissioner for Refugees (UNHCR).
I stand to corrected.
International Organization for Migration (IOM) lipo linashughulikia masula ya Wahamiaji/Uhamiaji.Kuna shirika linaloitwa International Organization for Migration? Never heard it before!
NInachofahamu mimi kuna shirika linaloitwa United Nations High Commissioner for Refugees (UNHCR).
I stand to corrected.
IOMInternational Organization for Migration (IMO) lipo linashughulikia masula ya Wahamiaji/Uhamiaji.
Ni kama NGO ya kimataifa.
Ingia hapa walau ufute makamasi yaliyojaa kichwani International Organization for MigrationKuna shirika linaloitwa International Organization for Migration? Never heard it before!
NInachofahamu mimi kuna shirika linaloitwa United Nations High Commissioner for Refugees (UNHCR).
I stand to corrected.
Serekali ya wanyongaji