Kashfa kiwanda cha saruji cha Dangote: Mkuu wa mkoa unasubiri nini kujiachia au mpaka ufukuzwe?

dansmith

JF-Expert Member
Dec 21, 2013
2,305
2,094
Wewe ndiye mwenyekiti wa kamati ya usalama ya mkoa una vyombo vote kama TISS.PCCB.JW.POLICE.UHAMIAJI.ETC .

Sasa kwa uzembee huu MPLA watumishi 360 wanafanyakazi bila vibali hapo Dangote tuu hatujaangalia sehemu nyingine una guts gani za kuendelea kukalia hicho kiti na kutuchekea watanzania tulionuna.

Nakushauri jiachie JPM huw anapita huku JF kupata maoni ya wanachi utajiwekea heshima kuliko kusubiri ufukuzwe.
 
Last edited by a moderator:
Wewe ndiye mwenyekiti wa kamati ya usalama ya mkoa una vyombo vote kama TISS.PCCB.JW.POLICE.UHAMIAJI.ETC sasa kwa uzembee huu MPLA watumishi 360 wanafanyakazi bila vibali hapo Dangote tuu hatujaangalia sehemu nyingine una guts gani za kuendelea kukalia hicho kiti na kutuchekea watanzania tulionuna nakushauri jiachie jpm huw anapita huku JF kupata maoni ya wanachi utajiwekea heshima kuliko kusubiri ufukuzwe

Be patient mkuu, JPM yuko kwenye mchakato wa kuteuwa wakuu wa mikoa na wakuu wa wilaya, kama kuna mkuu yoyote wa mkoa au wa wilaya mwenye dosari, hutamuona ktk uteuzi mpya.
 
Hawahitaji kujiuzuru,, wanahitaji kufukuzwa kazi na kushitakiwa kwa kosa la kuhujumu nchi na usaliti,, makosa ambayo adhabu yake ni kifo bila kuchelewa...
Mh Rais na Mh waziri Mkuu fukuza hizi mbwa kazi, nimeziita mbwa maana sio binadamu, binadamu mwenye akili timamu hawezi ruhusu ujinga kama huu, vibali kwa watu 360 huku watanzania wenzio wanalia hawana ajira, hawa watakuwa si watanzania uraia wao uchunguzwe..
 
Wewe ndiye mwenyekiti wa kamati ya usalama ya mkoa una vyombo vote kama TISS.PCCB.JW.POLICE.UHAMIAJI.ETC sasa kwa uzembee huu MPLA watumishi 360 wanafanyakazi bila vibali hapo Dangote tuu hatujaangalia sehemu nyingine una guts gani za kuendelea kukalia hicho kiti na kutuchekea watanzania tulionuna nakushauri jiachie jpm huw anapita huku JF kupata maoni ya wanachi utajiwekea heshima kuliko kusubiri ufukuzwe
Mkuu huo utamaduni wa mtu kujifanyia evaluation na kuchukua maamuzi ya kuachia ngazi kwa viongozi wa ccm ni msamiati mgumu sana
 
Hawahitaji kujiuzuru,, wanahitaji kufukuzwa kazi na kushitakiwa kwa kosa la kuhujumu nchi na usaliti,, makosa ambayo adhabu yake ni kifo bila kuchelewa...
Mh Rais na Mh waziri Mkuu fukuza hizi mbwa kazi, nimeziita mbwa maana sio binadamu, binadamu mwenye akili timamu hawezi ruhusu ujinga kama huu, vibali kwa watu 360 huku watanzania wenzio wanalia hawana ajira, hawa watakuwa si watanzania uraia wao uchunguzwe..
Au tunaweza kuwaita wachumia tumbo
 
Tatizo wanalindana kwa kuwa wote ni ccm ingekuwa sehemu nyingine ungeona Waziri na msururu wa média na kumfukuza mtu mbele ya waandishi wa habari good governance ipo wapi jpm kimya majaliwa kimya simbachawene kaufyat kazi ni kufukuza maafisha biashara na vingunguti tuu .siasa zinaharibu sana hii nchi ila hawaguswi utadhani wanadamu ya dhahabu au hawendi chooni
 
Kaka hizi mbwa bora zingetoa vibali nchi ipate mapato hawakuwa na vibali kabisa yaani wanafanya kazi kama wazawa
Mh Rais na Mh waziri Mkuu fukuza hizi mbwa kazi, nimeziita mbwa maana sio binadamu, binadamu mwenye akili timamu hawezi ruhusu ujinga kama huu, vibali kwa watu 360 huku watanzania wenzio wanalia hawana ajira, hawa watakuwa si watanzania uraia wao uchunguzwe..[/QUOTE]
 
jamani mwenzenu roho inaniuma kiasi cha kufa. wafanyakazi 360 hawana vibali, kazi wanazofanya zingefanywa na watoto wetu wa kike na wa kiume, kweli inaumiza sana.
mkuu wa mkoa, wa wilaya na vyombo vya kuwasaidia, tiss, polisi, takukuru, uhamiaji mnafanya nini?
waziri mavunde, haya ni majipu, yatumbuliwe mchana kweupe. yametuumiza sana.
 
Hii kampun dangote kivul tuu na uyu mkuu wa mkoa so aliwekwaga kwa ule utawala wa kuchaguliwa na mzee wa msoga?
 
Back
Top Bottom